nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Kiongozi,Kwanza mikaa yote viongozi Wakiwa Waislamu hao TEC Huwa wanaosumbua hivyo hivyo ila akiwa mtu wa dhehebu lao pamoja na madudu wanakausha.
Kwani saiiz Wana Imani nae? Wao wasiookuwa na Imani wengine watakuwa na Imani ,TEC haiongozi Nchi bwana.
Hukuona kipindi cha COVID 19 walivyopambana na Magufuli?? Jiamini mkuu