Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

Ukiwa na madaraka kwenye Nchi hipaswi kuleta mambo ya madhehebu yenu.

Upuuzi wa hivi ukome maana unaweza kuja kuleta shida baadae
Ninaposema kichwa chako hakifikiri sawasawa usiwe unakimbilia kukana jambo lililowazi. Mabandiko yako mengi humu sasa yanaonyesha umechanganyikiwa sana.

Ngoja nikukumbushe hapa kwamba ni huyo kiongozi wako ndiye aliyekwenda kutoa zawadi ya tsh 100 milioni, na takataka nyinginezo. Hakulazimishwa na yeyote kufanya hivyo, na sababu zake kufanya hivyo anazijua mwenyewe.

Ukitaka kusemea jambo, anza na huyo huyo anayekulisha na kukupeleka chooni na kukufanya uwe humu jukwaani kutwa, na kila siku.
 
Najuwa, hata akikusoma mara mia moja na kukuelewa ulichoandika hapa, bado hatataka kuona ukweli uliouweka wazi.

Hawa watu siyo kwamba haya hawayajui, wanayajua vizuri sana, lakini wanaona ni bora kuendelea na upotoshaji tu.
 
Najuwa, hata akikusoma mara mia moja na kukuelewa ulichoandika hapa, bado hatataka kuona ukweli uliouweka wazi.

Hawa watu siyo kwamba haya hawayajui, wanayajua vizuri sana, lakini wanaona ni bora kuendelea na upotoshaji tu.
Tatizo kubwa ni njaa, ndio maana anajitoa ufahamu.
 
TEC ni akina nani kwani? Tuache mambo ya kuendekeza upumbavu saa zingine.... Wao ni Mungu kiasi kwamba wasipokukubali utetereke? Hii ni stupidity of the highest order
 
Viongozi kuwa na madhehebu Yao ni sawa ila msimamo wa madhehebu Yao haupaswi kuwa msimamo wa Nchi.

Ukiwa na madaraka kwenye Nchi hipaswi kuleta mambo ya madhehebu yenu.

Upuuzi wa hivi ukome maana unaweza kuja kuleta shida baadae
Kwa hiyo, kwa maani yako, wanachokisimamia TEC ni upuuzi?
 
TEC ni akina nani kwani? Tuache mambo ya kuendekeza upumbavu saa zingine.... Wao ni Mungu kiasi kwamba wasipokukubali utetereke? Hii ni stupidity of the highest order
Kwa hiyo wewe unakubali serikali na CCM iwape DP world bandari na ardhi yetu? Au wewe ni mmoja wao?
 
Nilishasema kuwa Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa.

Sikuwa nafahamu how, lakini yasiyowezekana kwa mwanadamu
 
Kwangu ni upuuzi,kwao ni Cha maana.Tuache kuboresha Ufanisi wa Bandari kisa TEC wamepinga?
Kwa hiyo DP World ndiyo peke yao wenye uwezo wa kuboresha bandari zetu? Je, umesoma na kuelewa vyema masharti yale tata ya mkataba aliosaini mbarawa na bi tozo?
 
Benki ilitumika kutakatisha pesa za wizi hilo hawawezi kulikuepa hamna sadaka ya 100m huo ni wizi, nyie chokozeni serikali na TEC yenu isio kua na mchango wote katika uchumi wetu, mtaliona la mtema kuni......
Duh 🙄 !
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Haipo sababu ya kukereka..

Muhimu simamia unachokiamini.
Hakuna atakaekereka na msimamo wako ..
 
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.

Inakera sana.
Hawa tec wanataka kujipa umuhimu wasio kua nao, hao umuhimu wao ni huko makanisani, katika swala la uendeshani nchi hao ni raia tu kama raia wengine.
 
Kabla ya 2015 mimi nilikuwa na mtu ambaye alikuwa anaweza kupeleka kwenye mfumo wa nchi maoni yangu juu ya nani ateuliwe na CCM kugombea urais.Nilikuwa natoa hoja mbili kuu kumpendekeza Magufuli; 1. Kati ya viongozi wote yeye bado alikuwa ana imani ya wananchi,2.Alikuwa anatoka kwenye kanda yenye wapiga kura wengi.
Kwa sasa huyo mtu hayuko jirani na mfumo wa sasa.Lakini kwa kuzingatia kuwa mimi nikisema kitu mara nyingi ndiyo huwa ni uhalisia,nashauri CCM wasimteue Mama mwaka 2025 kugombea urais.Ikiwezekana Mwinyi,Rais wa Zanzibar agombee huku Bara.
 
Utumwe wewe kama nani?
 
Hakuna serikali duniani imewahi chezea kanisa ikasurvive.Mama si mjinga kupeleka kanzu usiendeshwe na chuki za kijinga za kidini.
Rais yupi amewahi kwenda ofisi ya Mufti kupeleka zawadi?
 
Hawatasahaulishwa msimamo na Tamko lao juu ya mkataba tata wa DP World. Hawatalaghaiwa kwa ahadi za kifedha; kupokelewa uwanjani au kupewa kanzu. TEC bado wanalo la bandari na wamejipanga kuusimamia msimamo wao.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili CCM tujisafishe mbele ya TEC, Tamko lao liheshimiwe. Kupigana vikumbo kujisogeza kwao hakutasaidia chochote. TEC imesheheni waelewa wa mambo zaidi ya wanasiasa wa zamani na wa sasa. Si wepesi kuyumbishwa kwa ahadi zisizo na kadi; michngo ya michongo na zawadi maridadi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…