Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Mambo ya cdm yatakupasua kichwaKamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Mbona unateseka sana hivi mumeo unamhudumia muda gani wewe dada?Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao na ndiyo itakuwa mwisho wa jinamizi hiliHapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
Wekeni hapa evidence sio maneno tu, Bashiru anatoka kanda ya ziwa?
Kaka usifikiri kuwa niwajinga hapana! Wamesoma alama za wakari ujao,Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Hahahaaa....... Huna hoja katika siasa za zama hizi ukanda siyo issue!Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti , Katibu mkuu na naibu katibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.
@Mods uzi huu ni sawa kabisa na ule unaozungumzia kanda ya ziwa hivyo ukifutwa huu na ule ufutwe.
Kwahiyo mikoa yooooote hakukuwa na wanaoweza isipokuwa haoHahahaaa....... Huna hoja katika siasa za zama hizi ukanda siyo issue!
Mandondocha ya Dj haya dah!Hahahaaa....... Huna hoja katika siasa za zama hizi ukanda siyo issue!
Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chamaZidumu fikra za mwenyekiti...
Mbwiga CCM wanakucheka!
Mkuu, mimi siamini katika kujenga hoja kwa kutumia siasa za ukanda.Wekeni hapa evidence sio maneno tu, Bashiru anatoka kanda ya ziwa?
Ni kweli hao ndio wanaweza kwani ni dhambi?Kwahiyo mikoa yooooote hakukuwa na wanaoweza isipokuwa hao