Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe
2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed
3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu
4. KATIBU MKUU - John John Mnyika
5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila
6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim

WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA

1. John W. Heche
2. Sarah Katanga
3. Gibson Meseiyeki
4. Michael Ahombokile Mwaitenda
5. Patrick Ole Sosopi
6. Grace .S. Kiwelu
7. Suzan L. Kiwanga
8. Yahaya Omary
9. Zeud A. Mvano
 
Hapa ndipo wapinzani wanapokosea. Sasa hapa mtatutoa CCM madarakani lini kwa mbinu zenu hizi chovu
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao na ndiyo itakuwa mwisho wa jinamizi hili
FB_IMG_1572697051230.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati.kuu wabunge watupu.
Kamati kuu ilitakiwa kusheheni watu wengi ambao sio wabunge sababu wao ndio.wasimamizi wakuu wa Chama na wabunge wao.Kwa mfumo huo.bunge wanalisimamiaje wakati wao ni wabunge?
Kaka usifikiri kuwa niwajinga hapana! Wamesoma alama za wakari ujao,
Wanajua kabisa hawatapata ubunge ktk uchaguzi ujao, mfano myika kupewa ukatibu mkuu tena! Wakati ni mbinge hii nikujitengenezea ulaji ikitomea akakoswa ubunge, naukiona hivyo ujue hatagombea ubunge wakibamba kishaogopa.
 
Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti , Katibu mkuu na naibu katibu mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.

@Mods uzi huu ni sawa kabisa na ule unaozungumzia kanda ya ziwa hivyo ukifutwa huu na ule ufutwe.
Hahahaaa....... Huna hoja katika siasa za zama hizi ukanda siyo issue!
 
Siasa nibiashara nzuri sana ukiipatia.

Chadema sasa hivi nichama cha biashara. Cyo cha siasa.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti...
Mbowe akili ilishagota hana jipya wala mbinu mpya ya kukiongoza chama

Halaf wanamuimbia pambio eti la mwamba tuvushe, dah maajabu sana mtu aliyeshindwa kuwavusha uchaguzi 2015 akaita mafisadi yaje yagombee urais then juzi uchaguzi serikali za mitaa kashindwa tena kuwavusha
ataweza kuwavusha 2020 kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa si ndiyo wenye chama...!! Hao wengine si ni manungaembe tuu,
 
Back
Top Bottom