Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Mchungaji wa kondoo hukaa mbele......BALI....Mchungaji wa mbuzi hukaa nyuma!
 
Hao wanaowaambia makamanda waandamane ilhali wao wamejificha Ufipa!

Nakuuliza tena, nitajie kiongozi yoyote anayetangaza vita anakaa mstari wa mbele kwenye vita. Nchi nyingi zimeingia vitani au kwenye machafuko, taja siku ulimuona kiongozi yoyote mstari wa mbele kwenye hivyo vita au machafuko. Viongozi huwa wanaonekana kwenye meza za mlo baada ya mauaji kutokea.
 
Huko kwenu sijui mnatumia viuongo gani kuwaza! unasema sio dhaifu ikiwa anaogopa mpaka bendera za Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni mpaka 2025 panapo uhai, uvumilivu tu ndio unaotakiwa.
 
Jenerali Mtimkavu!
 
Ukweli husemwa kwa heshima na busara. Ukitaka umtusi kwa kigezo cha uhuru wako wa habari kama vile yeye hastahili heshima basi jiandae kuchakaa.

Asichokitaka ni kusikia ukweli, hiyo kuwa anataka ukweli wa heshima na busara ni sehemu ya kuijifichia tu. Ila kiukweli ni mtu asiyemudu kuusikia ukweli kwa ajili ya ulevi wa madaraka.
 
Rejea pale juu niliposema vita au machafuko.
Chadema wakitangaza maandamano bila kufuata sheria huo ni uhalifu na ili kuuhalalisha inabidi Mbowe akae mbele siyo anakimbia na kitu chenye ncha kali kinampata akwilina!
 
Asichokitaka ni kusikia ukweli, hiyo kuwa anataka ukweli wa heshima na busara ni sehemu ya kuijifichia tu. Ila kiukweli ni mtu asiyemudu kuusikia ukweli kwa ajili ya ulevi wa madaraka.
Heshima kitu cha bure. Ukijifanya chizi watu watushughulika na wewe kama ni mtu mwenye kujielewa. Akili zitakaa sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…