Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Sasa we si ufurahie mpinzani wako kakosea, povu lote ilo linatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana CHADEMA kwa kuinua kaskazini kwa mara nyingine. Mwenyekiti, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu bara wanatokea Kilimanjaro kwa asili.
.
hao mawazo ya kibaguzi yatakudumiaza kifikra.
 

Wa kwetu utawajua tu “wakari” “kishaogopa” “ikitomea” “akakoswa”[emoji23][emoji23][emoji23].Ngosha punguza haraka wakati wa kuandika[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa kwetu utawajua tu “wakari” “kishaogopa” “ikitomea” “akakoswa”[emoji23][emoji23][emoji23].Ngosha punguza haraka wakati wa kuandika[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 meseji sent
 
Baada ya uchaguzi wa Ndani wa viongozi wa kitaifa wa Chadema kukamilka, idadi kubwa ya viongozi kwenye nafasi Nyeti ndani ya Chama wametoka kanda ya kaskazini hasa mkoa wa kilimanjaro.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya viongozi hao ikionesha mchanganuo wa kabila na mkoa wanaotoka.

Mwenyekiti Taifa - FREEMAN MBOWE kabila ni Mchaga anatoka mkoa Kilimanjaro.

Katibu Mkuu - JOHN MNYIKA kabila ni Mchaga anatoka Mkoa wa Kilimanjaro.

Mwenyekiti wa Bawacha - HALIMA MDEE kabila ni Mpare anatoka Mkoa wa Kilimanjaro.

Hebu jaribu kufikiria Viongozi wawili (mwenyekiti na katibu) wanaotegemewa kuwa mhimili wa maamuzi na wasimamizi wa maazimio ya vikao wote wanatoka Mkoa mmoja (Kilimanjaro) na kabila moja (wachaga) unategemea maamuzi yao yatakosa mrengo wa ukabila?

Chama cha siasa shabaha yake ya kwanza ni kushika dola na kuongoza Nchi kwa maslahi mapana ya Taifa, hivyo Chadema kama chama cha siasa kinapaswa kuwa na sura ya kitaifa katika safu zake za uongozi wa nafasi nyeti hata kabla ya kushika madaraka.

Watu wenye akili Ndogo za kutosha kubishana kubet mipira watakuja na hoja dhaifu kwamba Chadema ingefanyaje hao ndio walijitokeza kugombea na wakashinda. Wengine watasema mbona hujamtaja TUNDU LISSU na SALUM MWALIMU Naibu na Makamu hawana mamlaka zaidi ya kusubiri kupata maagizo kutoka kwa mabosi wao. Kuendesha chama cha siasa hasa cha upinzani na kikafanikiwa kushika dola inahitaji AKILI KUBWA.

Ni muhimu kwa Chadema endapo bado kina nia ya kukamata dola kifanyie kazi changamoto zinazokikabili ikiwemo kukosekana kwa demokrasia ya Ndani, ukabila, ukanda, tuhuma za kuwepo kwa kikundi cha utekaji na kutesa wanachama wanaomkosoa Mwenyekiti na kubadilisha katiba kwa kuweka ukomo wa muda wa kukaa madarakani kwa nafasi nyeti hasa Mwenyekiti.
 
Chama tuu unajinyea hivyo wakipewa tena nchi si utajiua kabisa
 
Twende upande wa ccm

UWT-Kabaka kanda ya ziwa

KATIBU MKUU- Kanda ya Ziwa

MWENYEKITI-kanda ya Ziwa

Viongozi wakubwa wa serikali

Waziri wa ndani-kanda ya ziwa

Naibu Tamisemi na makatibu wakuu,Nyamhanga,Gwajima kanda ya Ziwa

Jaji mkuu-Kanda ya ziwa

Mkuu wa majeshi-kanda ya ziwa

IGP-kanda ya Ziwa

Waziri Mpina- kanda ya ziwa

Waziri wa Umeme- Chato nyumbani kwa magufuli- Kanda ya ziwa

CAG-kanda ya ziwa

Hazina,mpwa-kanda ya ziwa

Naibu waziri ardhi- kanda ya ziwa

Asilimia 85 ya watumishi wakubwa na viongozi wa serikali wanatoka kanda ya ziwa

Hivi Tanga,Arusha,,Mtwara,Ruvuma,katavi,Rukwa ,Pwani, huko hawapo watu wa kuwa viongozi

Na huu ni uongozi wa kitaifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ukimwamini Mchaga na Muha unaachwa mchana kweupe, mtu wakumwamini ni Msukuma peke yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
chama cha bwana mbowe. lazma afanye hivyo
 
Jiwe kuna mtot wa dada, CJ, CDF, Maji, Katibu Muu hazina, endless list
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…