Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.

Viongozi wa nchi za kiafrika hii meseji iwafikie. Byeeeee.
 
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
Sasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.
 
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.

Kwa kuanzia tu, mfano pale kwa Gadaffi kiongozi gani wa Afrika alikemea tofauti na Mugabe
 
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
huo ni ukweli. Ni ndumila kuwili
 
Wazungu kwa Wazungu wale... sisi wamakonde huku yetu tu ni magumu....Ukraine inaweza kugeuzwa yote kifusi ila vita ikiisha mwaka tu inarudi kwenye ramani kiuchumi zaidi ya nchi zote za KiaAfrica...
 
Pole sana ndg Urusi kwetu amekuwa msaada mkubwa sana na si kwetu tu hata kwa baadhi ya nchi za Afrika katika harakati za ukombozi kusini mwa afrika
Kwa heshima na taadhima, nambie misaada ya Urusi ambayo imeisaidia Tanzania kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita mpaka sasa.
 
Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
 
Wapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.
 
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.
 
Naomba iseme hiyo ya wazi, manake kama siri hata wewe huijui. Mbona misaada ya nchi za magharibi kwetu ni wazi tu uki google unapata data zote?
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.
 
Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.
 
Kwa heshima na taadhima, nambie misaada ya Urusi ambayo imeisaidia Tanzania kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita mpaka sasa.
Tusibishane mkuu katika hili! Nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza, ila Urusi mpaka sasa ivi tunavyoochatika JF ina msaada mkubwa sana kwa TZ ni hivyo si mambo yote hua yanawekwa hadharani but ni rafiki mzuri tu.
 
Kwanza NATO/UN wenyewe wamekaa kimya...
Alafu huku Afrika viongozi wengi wanajifunza misingi kutoka kwa Putin.
 
Back
Top Bottom