UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kuwa na kinu cha nuklia kwa ajili ya kutoa nishati na kutengeneza silaha za nuklia ni vitu viwili tofauti.Hivi unajua kwamba ukraine ilishakuwa na kinu cha nuclear na ilikuwa na silaha za nuclear??
Ukraine ilikuwa na silaha za nuklia enzi za USSR, baada ya ussr kuvunjika Ukraine iliziachia hizo silaha, zikaharibiwa na zingine zikatwaliwa na Russia, na ikasaini mkataba wa kutotaka kutengeneza wala kuwa na silaha za nuklia. Unalijua hilo?