Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

Wapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.
Unajua kitu kinaitwa 'New world order' maana yake ni nini?
 
Tusibishane mkuu katika hili! Nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza, ila Urusi mpaka sasa ivi tunavyoochatika JF ina msaada mkubwa sana kwa TZ ni hivyo si mambo yote hua yanawekwa hadharani but ni rafiki mzuri tu.
Kuuliza swali sio kubisha. Swali linahitaji jibu
 
Ugomvi wa watu wengine hauwezi kusababisha nawewe umchukie mojawapo.......na hao hao unataka kuwatetea na wajinga wengi tu huku Africa Kila siku wanatwiti na kuleta hashtags kibao,eti pray for yukreiniani.....jinga kabisa.... inamaana wale ndiyo binadamu Bora pekee? Africa kuna vita Kila kona,wachochezi ndiyo haohao
 
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

View attachment 2141201

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.

Viongozi wa nchi za kiafrika hii meseji iwafikie. Byeeeee.
Kama ulifuatilia, mkutano wa UN kuhusu vita hii utatambua nchi za Afrika nyingi msimamo wao ulikuwaje. Wacha kudhalilisha viongozi wa Afrika.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.
Inaonesha hujui political economy ya ulimwengu. Si rahisi mtu kukuelewesha kwenye jf
 
Kama ulifuatilia, mkutano wa UN kuhusu vita hii utatambua nchi za Afrika nyingi msimamo wao ulikuwaje. Wacha kudhalilisha viongozi wa Afrika.
Wewe utakua ni kiongozi, ile video inakuhusu. Kaisikilize taratibu utaelewa uzi umelinga nini. Hapa hatuoneani huruma tunaambiana ukweli.
 
Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
Hivi unajua kwamba ukraine ilishakuwa na kinu cha nuclear na ilikuwa na silaha za nuclear??
 
Tusibishane mkuu katika hili! Nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza, ila Urusi mpaka sasa ivi tunavyoochatika JF ina msaada mkubwa sana kwa TZ ni hivyo si mambo yote hua yanawekwa hadharani but ni rafiki mzuri tu.
Upi huo? China walijenga Reli, Scandinavian countries wametupa misaada mingi sana kwenye Elimu, VETA, Maliasili, Afya etc, Marekani nao halikadhalika wanetusaidia sana mfano MCC funds kwenye umeme, miundombinu etc... Sasa huyo Mrusi hebu tusaidie
 
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Hata wakiongea maneno matupu hayavunji mfupa
Hata wakiamua kuisaidia nchi moja kati ya hizo teknolojia yetu ni very old, fikiria mpaka leo tunatumia "singe choma" kupambana na adui
 
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.

Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.

Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.

Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.

View attachment 2141201

Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.

Viongozi wa nchi za kiafrika hii meseji iwafikie. Byeeeee.
Tusaidie link mkuu tuishushe toka ilipo
 
Sasa uliona wapi mwenye njaa akamkemea mwenye chakula..miafrika mingi imejaa unafiki tu..hapo inasubiri vita iishe ipereke bakuli.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom