Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.
Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.
Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.
Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.
Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
huo ni ukweli. Ni ndumila kuwiliMada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.
Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.
Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
mingi sana ya siri na ya waziSasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.
Pole sana ndg Urusi kwetu amekuwa msaada mkubwa sana na si kwetu tu hata kwa baadhi ya nchi za Afrika katika harakati za ukombozi kusini mwa afrikaSasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.
Kwa heshima na taadhima, nambie misaada ya Urusi ambayo imeisaidia Tanzania kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita mpaka sasa.Pole sana ndg Urusi kwetu amekuwa msaada mkubwa sana na si kwetu tu hata kwa baadhi ya nchi za Afrika katika harakati za ukombozi kusini mwa afrika
Naomba iseme hiyo ya wazi, manake kama siri hata wewe huijui. Mbona misaada ya nchi za magharibi kwetu ni wazi tu uki google unapata data zote?mingi sana ya siri na ya wazi
Wapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.Sasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.Wapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.Naomba iseme hiyo ya wazi, manake kama siri hata wewe huijui. Mbona misaada ya nchi za magharibi kwetu ni wazi tu uki google unapata data zote?
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
Nimesha upload nilichokikusudia, rehearsal sasa.Urusi awe makini, Ukraine inaweza kuwa kaburi lake...
Tusibishane mkuu katika hili! Nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza, ila Urusi mpaka sasa ivi tunavyoochatika JF ina msaada mkubwa sana kwa TZ ni hivyo si mambo yote hua yanawekwa hadharani but ni rafiki mzuri tu.Kwa heshima na taadhima, nambie misaada ya Urusi ambayo imeisaidia Tanzania kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita mpaka sasa.