UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kuwa na kinu cha nuklia kwa ajili ya kutoa nishati na kutengeneza silaha za nuklia ni vitu viwili tofauti.Hivi unajua kwamba ukraine ilishakuwa na kinu cha nuclear na ilikuwa na silaha za nuclear??
Sijaiona KiongoziNimeweka link
Ni kweli kabisa marekani anataka kutawala dunia na ndo chanzo cha migogoroWapi wamesema wanataka kutawala dunia yote? Mpaka sasa wametawala nchi ngapi na ngapi zimesalia? Ku share ideals haina maana unakuwa puppet.
Inaweza kuwa ni kweli. Ila ninachoomba ni wewe kunihakikishia huo ukweli, la sivyo inabaki kuwa story ya kijiweni.Ni kweli kabisa marekani anataka kutawala dunia na ndo chanzo cha migogoro
Naomba iseme hiyo ya wazi, manake kama siri hata wewe huijui. Mbona misaada ya nchi za magharibi kwetu ni wazi tu uki google unapata data zote?
Sasa Urusi wanatupa misaada gani? Labda AK-47 tu.
Kwani Urusi haitaki kujitanua na kutawala dunia? Wanataka ila wamefilisika ndiyo maana wanashindwa. Enzi ya vita baridi Warusi walijitanua mpaka huku Afrika na walikuwa na vikaragosi wao madarakani wakina Lumumba, Samora, Joshua Nkomo, Dos Santos, Sam Nujoma na wengine.Wanaogopa kuiambia marekani ukweli ili wasikose misaada. Marekani ndiyo chanzo cha mzozo wote huo, siasa za kishetani za kujitanua na kutaka kutawala dunia ndiyo chanzo cha hayo yote; kutaka kuweka makombora ya kuilenga Russia, na kuisaidia Ukraine kutaka kutengeneza silaha za nuklia ndiyo chanzo cha vita. Sasa nani atamfunga paka kengele? Ulaya yote ilishakuwa vikaragosi (puppets) wa marekani!
Hiyo ni large scale, hii inaanzia kwenye ngazi ya familia zetu nyingi ukiwa mdogo kiumri au kiuchumi ushauri wako kwa waliokuzidi ambao muda mwingine huwa ni msaada kwako huonekana kama fujo au kelele na lazima uombe kabla upate ruhusa kushauri... Nchi zetu za Africa hakuna ya kujilinganisha kwa lolote na Russia kuanzia uchumi, ulinzi hadi utawala bora na hata tuungane nothing we can do... kwa hiyo hapo viongozi wetu kukaa kimya nadhani ni best option.Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.
Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.
View attachment 2141201
Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
Viongozi wa nchi za kiafrika hii meseji iwafikie. Byeeeee.
YesHiyo ni large scale, hii inaanzia kwenye ngazi ya familia zetu nyingi ukiwa mdogo kiumri au kiuchumi ushauri wako kwa waliokuzidi ambao muda mwingine huwa ni msaada kwako huonekana kama fujo au kelele na lazima uombe kabla upate ruhusa kushauri... Nchi zetu za Africa hakuna ya kujilinganisha kwa lolote na Russia kuanzia uchumi, ulinzi hadi utawala bora na hata tuungane nothing we can do... kwa hiyo hapo viongozi wetu kukaa kimya nadhani ni best option.
What is the truth?Wewe utakua ni kiongozi, ile video inakuhusu. Kaisikilize taratibu utaelewa uzi umelinga nini. Hapa hatuoneani huruma tunaambiana ukweli.
Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.
Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada.
Wataongea nini wakati wanaopigana ndio tunaowategemea. Nchi zinazo jitegemea tu ndio zinaweza kuongelea hiyo vita na kutoa ushauri.
Tegemezi marazote hukosa confidence ya kutoa mchango wake.
Ngoja habari kamili imo humu kwenye hii video.
View attachment 2141201
Kama kuna kiongozi humu utanisamehe najua inauma sana lakini huu ndio uhalisia.
Viongozi wa nchi za kiafrika hii meseji iwafikie. Byeeeee.
China, india nk pia ni tegemezi?Mada tajwa hapo juu ni juu ya hawa African leaders.