Uchaguzi 2020 Viongozi wetu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, mkoa wa Katavi na Wilaya ya Mlele hujuma mlizomfanyia Tundu Lissu kwa sababu tu ya pesa hazikubaliki

Ina maana Tundu na msafara wake wote hawaijui Tanzania?

Kila siku nasema chadema ni chama cha ajabu mno siku hizi. Tangu aondoke Dr slaa hawana malengo wala maono.

Hiki kilichobaki ni kulinda kikundi cha watu wenye nia ya kutetea maslahi binafsi kwa mgongo wa demokrasia
 
Kuna masuala ya intelijensia ya kiusalama pia. Yawezekana ndiyo sababu lkn ikaripotiwa kiutu uzima.
 
Kuna masuala ya intelijensia ya kiusalama pia. Yawezekana ndiyo sababu lkn ikaripotiwa kiutu uzima.

Ishu ya kiusalama Tundu akae kimya!!!!???? Tundu huyuhuyu tunayemjua!!? Afunge mdomo kabisaaaa asionge hadi Robatiamusitadamu asijue😎😎 NO
 
Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais TUNDU LISSU alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda...
Vipi msaliti amepotea njia??!!!
 
ni kweli Lissu alifka kirando ila alichoongea wananchi hawakuelew na hakutoa hoja akiwa rais atawasaidiaje wananchi katka kutatua changamoto zilizoelezwa na mgombea ubunge! Kiukwel watu hawKupenda! Na atakuwa kajipunguzia kura kwa jimbo hili
 
Naomba nikupe taarifa Tanzania iko mikononi Mwa Mungu na si wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…