Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna masuala ya intelijensia ya kiusalama pia. Yawezekana ndiyo sababu lkn ikaripotiwa kiutu uzima.
Anajua Ubelgiji zaidi ya Tz, maana ndio wanaomtafutia uraisSasa Kama mtu Haijui Nchi yake huyu si mpuuzi
Upinzani Tanzania bado sana huyo kupata 20% Atakuwa Kashinda sana
Vipi msaliti amepotea njia??!!!Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais TUNDU LISSU alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda...
Naomba nikupe taarifa Tanzania iko mikononi Mwa Mungu na si wachawiHilo La Lisu kupotea njia wachawi wa Sumbawanga alipokuwa na mkutano walimpima Kama kweli Uraisi anauweza sababu kuwa Raisi ni pamoja na kutawala wachawi
Hivyo wakam test yeye na msafara wake wamewaona hamna kitu ndio maana walipotea barabara
Taarifa zilizoko Sumbawanga ni kuwa Lisu Hana uwezo wa kuwa Raisi kwa Test hiyo ya wana Sumbawanga ambayo kafeli