Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20,518
Reaction score
38,854
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
 
Ndiyo umejibu tayari 🤭
Screenshot_20250814-194640~2.jpg
 
possible mkuu, kama idara husika zipo weak hakuna la kufanya,

binafsi naamini ndani ya hii miaka mi4 chama cha ccm kimehujumu nchi kwa makusudi (kuboronga kazi kwa makusudi kabisa)

na sitakuja wasamehe
 
Tunakosea sana tunaposema "ila siasa bhana" inatakiwa tujiulize sisi Watanzania tuna shida gani? iwe "ila Watanzania bhana" maana shida haipo kwa hao uliowataja bali kwetu sisi tunaofahamu kuwa nchi yetu inachezewa na tupo kimya yani tumekubali vikundi vya watu waendeshe nchi vile wanapenda na sisi tukiwapo.
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Jibu lako lipo kwenye paragraph ya 3
 
Tunakosea sana tunaposema "ila siasa bhana" inatakiwa tujiulize sisi Watanzania tuna shida gani? Iwe "ila Watanzania bhana" maana shida haipo kwa hao uliowataja bali kwetu sisi tunaofahamu kuwa nchi yetu inachezewa na tupo kimya yani tumekubali vikundo vya watu waendeshe nchi vile wanapenda na sisi tukiwapo.
Tuna watoto mkuu,tunaogopa nchi yetu isijeingia vitani tukageuka sudanese au wanaGaza
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Magufuli alijichanganya akamsamehe nape kumbe ulikuwa mpango wa mwisho wa utekelezaji.
Nape akapeleka majungu kama alivyotumwa magufuli akajaa. Akambadilisha wa Tiss yule mchungaji akamwela aliyefuatia kazi ikaishia pale
Tusubir. Mkapa alikosea sana kuingiza usalama siasani.
Kuna retesi
 
Mambo yakawa si mambo....adui hawezi geuka kuwa rafiki hata sikumoja.
 
Angekua hahusiki angeshatoa amri haya masuala yashughulikiwe haraka!... Ninachoona alikua na mwelekeo mzuri tu matajiri na chawa wakamtia mfukoni hivyo wanamwendesha wanavyotaka.

Wanamwendesha kwa kumsifia na wengine kwa kumtisha kwamba akienda kinyume nao watammagufuli
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Oscitracism
 
Back
Top Bottom