Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Sasa nini itakuwa maana ya katiba Kumpa rais mamlaka juu ya Usalama wa taifa, majeshi yote na kila mamlaka ya kusimamia nchi!
 
Mabaya ya sasa yanayoweza kuwa yanafanywa na kundi lililomuunga mkono Magufuli kama yepi? Na kama ni kweli yapo mabaya yanayofanywa na kundi lililomuunga mkono Magufuli dhidi ya wananchi na yeye Samia, yeye Samia hayaoni? Amechukua hatua gani? Ameshindwa kuudhibiti huo uhuni? Kama kashindwa kuwadhibiti hao wahuni basi huo ni uthibitisho kwamba haiwezi kazi ya kuwa rais. Awapishe wengine.
 
Kwa hiyo tuendelee kuandalia watoto wetu maisha ya tabu kama tunayopitia sisi kwa sababu ya kunufaisha watu wachache ambao hawawazi kuhusu familia zetu ila zao?

Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Uoga unatumaliza taratibu
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Iwapo kundi la asiyekuwepo lina nguvu hiyo vipi kuhusu kundi la aliyepo?je limekufa,limelewa,lime lala au limesinzia,ama limegonjekaa?Swali lako linahitaji tafakuri jadidifu!
 
Ni kweli,huu ni mdahalo ...na majibu tunapata humuhumu
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Karma is Bitch
 
Hawa ni wale waliomuwahisha ahera madukani ndugu jiwe, baada ya kupingana na maslahi yao
 
Pesa ya kirahisi rahisi huwa ni tamu sana ns ina addiction kali kuliko heroin.

Uliza watu wanaobet au wacheza kamali watakwambia.

Kwa watu waliopo serikalini sasa ni mchanganyiko wa waliokuwa kipindi cha magu na waliokuwa wametolewa na magufuri na kurudi baada ya msiba wake.

Kwa kifupi kuna mchanganyiko wa wezi wa awamu tofauti ndio maana unaona akina makamba, nape na wengineo wametolewa nje ya gemu.
 
Mpenzi wako akikusaliti na ukajua kakusaliti akakataa kukuomba msamaha hufanya vituko na Hila zaidi Ili uombe poo Ili aku win Tena Kwa kukuonyesha kwamba huwezi ishi bila yeye!!

Hii no technic wanayotumia wanawake wengi kwenye mahusiano wanapogundulika!

Sasa IPO hivi,wanausalama,majasusi was taifa hili walikosea Kwakuacha mifumo mibovu Hadi nyakati hizi zikafika nyakati za mitandao ya kijamii!!wame be exposed uzembe wao na hawana namna zaidi ya kuanzisha taharuki Ili kiongozi walieshindwa kumdhibiti kimfumo wamharibie Kwa mbinu za gizani!yaani damu imwagike Ili alie madarakni aharibikiwe wapate sababu fulani za kumuondoa kitini au azma aliyonayo!!

Ndicho kilifanyika kipindi Cha JPM na Sasa kipindincha samiah yanafanyika!!

Dark arts hakuna kingine!!
 
Tunakosea sana tunaposema "ila siasa bhana" inatakiwa tujiulize sisi Watanzania tuna shida gani? iwe "ila Watanzania bhana" maana shida haipo kwa hao uliowataja bali kwetu sisi tunaofahamu kuwa nchi yetu inachezewa na tupo kimya yani tumekubali vikundi vya watu waendeshe nchi vile wanapenda na sisi tukiwapo.
Tunabaki kulalamika tu bila kuchukua hatua
 
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Do not count the days make the days count or make your mind set actively engaged with each day

Akili zako zijishughulishe kwa utakayo yafanya ama kabiliana nayo kila siku, (yaliyopo kwa sasa)

Rais ni taasisi, vile vile uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao

Any decision you make in life you will be responsible for it
 
Back
Top Bottom