Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.

Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?

Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?

Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.

Vita ya sasa si inapiganwa kwa agenda za sasa?
 
Mimi huwa najiuliza waliomshauri Lissu amweke ndani ndo hao hao wanaweza kumgeuka na kufanya uhuni flani na Kupata tena sapoti ya watu wa Lissu wakaendelea kusavaivu kwenye regime nyingine kama Makontawa siasa ni hesabu kali Sana Inatakiwa uwe na akili ndo maana Mzee anakwambia za kuambiwa changanya na zako
Ila hapa kaonyesha upungufu Fulani,yaan unamfungia mtu ili msishindane,sasa nini maana ya mashindano? Hiyo inaleta picha ya udhaifu wa wazi kabisa
 
Mabaya kufanyika sio sababu , sababu ni serikali imechukua hatua gani kudhibiti hayo mabaya?
 
Back
Top Bottom