Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Pole chimbuko la kikwete ,hata makonda mara ya kwanza anakua DC wa kinondoni alichaguliwa ma kikwete.Polepole
Inasikitisha sana mkuuAngekuwa hafanyi yeye si angezuia? Huyu kaupata Urais baada ya Wahuni “kumalizana” na Mwendazake, kwa hiyo hajali chochote, ataulinda kwa gharama zozote ikiwemo mauaji, kuteka wanaompinga na kuwafanyia unyanyasaji wa kila aina…the imagine huyu ni mwanamke anayafanya haya😱😱😱
🤣 🤣 🤔🤔💭Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Na mwaliko wa Mafisadi kuchangia Chama ulitolewa na nani? Tuanzia hapo kwanzaMambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
AminaSwali la kipumbavu. Kuna mambo nyie wengine hamwezi kufikiria. Wewe jikite kwenye forum ya mapenzi na mahusiano. Yaani unamwona rais hana nguvu kiasi kuwa hata hawezi elewa kama anahujumiwa na watu wa Magufuli? Kwa hiyo yeye ana waogopa? Hawawezi? Wewe una fahamu kuliko yenye mwenye vyanzo vya taarifa lukuki?
Muwe basi hata kama mnamdharau mumuheshimu kidogo. Kwa mbaaali.