Ndiyo umejibu tayari 🤭
Jibu lako lipo kwenye paragraph ya 3Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Tuna watoto mkuu,tunaogopa nchi yetu isijeingia vitani tukageuka sudanese au wanaGazaTunakosea sana tunaposema "ila siasa bhana" inatakiwa tujiulize sisi Watanzania tuna shida gani? Iwe "ila Watanzania bhana" maana shida haipo kwa hao uliowataja bali kwetu sisi tunaofahamu kuwa nchi yetu inachezewa na tupo kimya yani tumekubali vikundo vya watu waendeshe nchi vile wanapenda na sisi tukiwapo.
Magufuli alijichanganya akamsamehe nape kumbe ulikuwa mpango wa mwisho wa utekelezaji.Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Uingie vitani na nani wewe nchi yako ulishaikabidhi kwa masingasinga???Tuna watoto mkuu,tunaogopa nchi yetu isijeingia vitani tukageuka sudanese au wanaGaza
Mambo yakawa si mambo....adui hawezi geuka kuwa rafiki hata sikumoja.Magufuli alijichanganya akamsamehe nape kumbe ulikuwa mpango wa mwisho wa utekelezaji.
Nape akapeleka majungu kama alivyotumwa magufuli akajaa. Akambadilisha wa Tiss yule mchungaji akamwela aliyefuatia kazi ikaishia pale
Tusubir. Mkapa alikosea sana kuingiza usalama siasani.
Kuna retesi
OscitracismMambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.