Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

Mimi huwa najiuliza waliomshauri Lissu amweke ndani ndo hao hao wanaweza kumgeuka na kufanya uhuni flani na Kupata tena sapoti ya watu wa Lissu wakaendelea kusavaivu kwenye regime nyingine kama Makontawa siasa ni hesabu kali Sana Inatakiwa uwe na akili ndo maana Mzee anakwambia za kuambiwa changanya na zako
 

Vita ya sasa si inapiganwa kwa agenda za sasa?
 
Ila hapa kaonyesha upungufu Fulani,yaan unamfungia mtu ili msishindane,sasa nini maana ya mashindano? Hiyo inaleta picha ya udhaifu wa wazi kabisa
 
Mabaya kufanyika sio sababu , sababu ni serikali imechukua hatua gani kudhibiti hayo mabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…