We mwanamke kweli.?Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Nashukuru🤭 Umesamehewa mkuu
Tunaweza kusema hivyo mkuu,acha watu waongee ila watu wasiangamizwe wanapokosoa serikali.Hakuna mkamilifu,ukikosea kubali kurekebishwa.Raisi hata awe Mungu mwenyewe ni lazima watu watamlalamikia tu.
Nyerere alinusurika dhamira ya kupinduliwa zaidi ya mara moja.
Mwinyi alilaumiwa sana kwa kusemwa semwa ni dhaifu na mbadhirifu.
Mkapa alilalamikiwa mno kwa madai ya kuuza nchi (ubinafsishaji na uuzaji wa migodi ya madini ) kiholela.
Akaja Jakaya, akatukanwa kiasi cha kufananishwa na mwanamke na kupewa majina ya kuwa ni fisadi.
Magufuli akaitwa dikteta uchwara, mshamba, anakurupuka, mropokaji na mengine mengi.
Sasa Samia anatukanwa kila aina ya matusi tena ya nguoni.
Cha ajabu walewale tuliowatusi , baada ya kumaliza vipindi vyao vya uongozi tuliwaona Wana unafuu ukilinganisha na waliopo madarakani kwa nyakati hizo.
Kiongozi wa kisiasa ni mtafutaji kama ilivyo kwa mfanyakazi , mwajiriwa, mtumishi, mfanyabiashara , kibarua na kadhalika.
Maendeleo ya familia yako yanategemea sana upambanaji wako wewe mwenyewe kwakuwa hakuna mwanasiasa atayekuja kukuletea maendeleo.
Hata atawale nani lazima watu wataongea tu.
Wacha watu waongee.
Huenda wamemwekea gun kwa kichogo mkuu
Kama mmeona haki kama hiyo ina siginwa, anaefanya mabaya katika nchi anajulikana na ushahidi ni huo hapoYaan ni maumivu matupu,wamtoe tu huyu jamaa
Unaishi Dunia ipi ndugu yangu? Ni Dunia hii hii tuliyopo? Hakuna Serikali isiyonyonga / kuua Duniani tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Tunasoma katika vitabu vyote wakosoaji wa watawala hawajawahi kuishi kwa amani.Tunaweza kusema hivyo mkuu,acha watu waongee ila watu wasiangamizwe wanapokosoa serikali.Hakuna mkamilifu,ukikosea kubali kurekebishwa.
Na haitokaa itokee amani iwe kwa ndani hata!!Shida amani ipo kwa nje mkuu...
Kwa hiyo tuendelee kuandalia watoto wetu maisha ya tabu kama tunayopitia sisi kwa sababu ya kunufaisha watu wachache ambao hawawazi kuhusu familia zetu ila zao?Tuna watoto mkuu,tunaogopa nchi yetu isijeingia vitani tukageuka sudanese au wanaGaza
Inasikitisha sana mkuu
JPM kakuachia mimba kali sana, mpaka leo bado mnamuwaza 😂 sasa mbona huyo mama yenu hawezi kuzuia hayo makundi na n raisMambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Kwahy kisa una watoto ndo mana unaogopa kupambania haki zako, sasa hapo jpm anaingia vpTuna watoto mkuu,tunaogopa nchi yetu isijeingia vitani tukageuka sudanese au wanaGaza