Sasa nini itakuwa maana ya katiba Kumpa rais mamlaka juu ya Usalama wa taifa, majeshi yote na kila mamlaka ya kusimamia nchi!Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Binafsi naona wakati wa kujikana umefika.Uoga unatumaliza taratibu
Iwapo kundi la asiyekuwepo lina nguvu hiyo vipi kuhusu kundi la aliyepo?je limekufa,limelewa,lime lala au limesinzia,ama limegonjekaa?Swali lako linahitaji tafakuri jadidifu!Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Ni kweli,huu ni mdahalo ...na majibu tunapata humuhumuIwapo kundi la asiyekuwepo lina nguvu hiyo vipi kuhusu kundi la aliyepo?je limekufa,limelewa,lime lala au limesinzia,ama limegonjekaa?Swali lako linahitaji tafakuri jadidifu!
Karma is BitchMambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.
Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha Magufuli?
Au yanafanyika na kundi linaloneemeka kipindi hiki Cha mama,na hawataki mama apumzike kwa sababu neema yao itaota nyasi?
Maana nakumbuka waliomweka Magufuli madarakani walivyoona hafuati ushauri wao wakaanza kumwandama ang'oke.Ila siasa bhana.
Tunabaki kulalamika tu bila kuchukua hatuaTunakosea sana tunaposema "ila siasa bhana" inatakiwa tujiulize sisi Watanzania tuna shida gani? iwe "ila Watanzania bhana" maana shida haipo kwa hao uliowataja bali kwetu sisi tunaofahamu kuwa nchi yetu inachezewa na tupo kimya yani tumekubali vikundi vya watu waendeshe nchi vile wanapenda na sisi tukiwapo.
Do not count the days make the days count or make your mind set actively engaged with each dayMambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana.