Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

We do not count for the past

Rais ni taasisi, vile vile uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao

Any decision you make in life you will be responsible for it
Upo sahihi mkuu... ngoja tuone
 

Angekuwa hafanyi yeye si angezuia? Huyu kaupata Urais baada ya Wahuni β€œkumalizana” na Mwendazake, kwa hiyo hajali chochote, ataulinda kwa gharama zozote ikiwemo mauaji, kuteka wanaompinga na kuwafanyia unyanyasaji wa kila aina…then imagine huyu ni mwanamke anayafanya haya😱😱😱
 
Inasikitisha sana mkuu
 
🀣 🀣 πŸ€”πŸ€”πŸ’­
 
Na mwaliko wa Mafisadi kuchangia Chama ulitolewa na nani? Tuanzia hapo kwanza
 

Swali la kipumbavu. Kuna mambo nyie wengine hamwezi kufikiria. Wewe jikite kwenye forum ya mapenzi na mahusiano. Yaani unamwona rais hana nguvu kiasi kuwa hata hawezi elewa kama anahujumiwa na watu wa Magufuli? Kwa hiyo yeye ana waogopa? Hawawezi? Wewe una fahamu kuliko yenye mwenye vyanzo vya taarifa lukuki?

Muwe basi hata kama mnamdharau mumuheshimu kidogo. Kwa mbaaali.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…