Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?View attachment 3139601
Hizi chuma nazikubali sana,Ukiachana na comfortability zina eco mode na Sport mode inayoongeza performance ya gari incase unahitaji engine ikupe nguvu.
Kuhusu matatizo yake sijajua sana ni gari nimeitumia kwa muda kidogo tu.