Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Muuzaji kwenye 1 n 2
 
Mimi nikionaaa kila muda simuuu mara text haziishiii najua apa kuna alert ya kwamba kuna kizingaaa cha pesa ko akinitafutaa ataishiaa kusikia

Access denied
Au namba unayoipigia.............................
Malizieni apo wakuu
 
Acha umalaya
 
Profile yake instagram imejaa picha za vacations na vyumba vya hotel lakini hakuna hata picha moja ya kazini kwake, kimbiaaa yaani mabuti ya kijeshi uyaone mepesi

Yani kama vile simple toka nduki toka lesi

Ka risasi ya bunduki au jeti

No kunyuti no kuketi, mpe nafasi akushoot

Kama Malcolm X usikubali kubaki

Uwe pimbi upewe kesi

Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi

Kimbiaaa
 
K
Kweli ntu chake
 
Mpaka hapa, inaonekana wewe ni kahaba (mwanamke anayejiuza)
 
Akiwa na Best Friend Mwanaume, .... Tunapeana Thank You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…