Vipi wake zetu wangekuwa kama mdada wa tangazo la Tigo?

Ndiyo hivyo, ujanja utasikia eti wanapenda vipande vipande [emoji23][emoji23] sasa aliyewadanganya mwanamke yeye anapenda vizima vizima nani? Wao wakigeuziwa vibao haraka sana kutafuta panga haa haaa
Ndio zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ule uzi wa chai tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ af inaonesha mnauchukia sana hamtiagi mguu kabisa!
 
Ndiyo hivyo, ujanja utasikia eti wanapenda vipande vipande [emoji23][emoji23] sasa aliyewadanganya mwanamke yeye anapenda vizima vizima nani? Wao wakigeuziwa vibao haraka sana kutafuta panga haa haaa
Kamanda ni mmoja tu chomboni! Uliona wapi makamanda wawili?
 
Ningeua mtu,mwanamke yule anauza mechi halafu anadanganya eti,,tuliza honey...
Mwanamke kamzidi akili jamaa🀣🀣🀣 kapigwa diko la mbau af kasokotwa kwa buku 4
 
Wao wanachokifanya akiwa na pesa anakuwa kunguru asiye fugika na siku akifulia anakuwa njiwa [emoji23][emoji23]
Mbona majungu sasa, sio wote kunguru bana. Mie nikiwa nahela nakula na wife hadi zikiisha then yeye ndio anaanza vichambo tena nikifulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Unazungumziaje hilo?
 
Mkuu kwani huangaliagi hata taarifa ya habari hapo kwako? Habari haiishagi bila lile tangazo kuoneshwa tena ni zaidi ya mara moja.
Duh! Mimi na TV ni vitu viwili tofauti. Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni lini. Habari nazipata zaidi humu JF. Ila kuna mwamba kaliweka nimedownload kabisa.
 
Mbona majungu sasa, sio wote kunguru bana. Mie nikiwa nahela nakula na wife hadi zikiisha then yeye ndio anaanza vichambo tena nikifulia [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Unazungumziaje hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi sema hapa ni kimya kimya tu kama nyau vile
 
Waguswe wao sasa wanavyo oaga macho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sevuni hela za vocha hizo tuishi vizuri tukifulia jamani. Acheni majungu af mjifunze kupika misosi mikali hadi tushangae.
 
Miezi miwili kwa nywele anazosuka zile ingekuwa ngumu, yule katupiga kunga bana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndiyo maana hampendi tukajinunulie wenyewe vitu vizuri haaΓ  haaa
 
Duh! Mimi na TV ni vitu viwili tofauti. Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia taarifa ya habari ni lini. Habari nazipata zaidi humu JF. Ila kuna mwamba kaliweka nimedownload kabisa.
Eeh mkuu, nilitaka nikutag kama ushalipata freshi!

Mie pia TV nimeanza kuangalia kipindi hiki cha corona niliweka Azam Tv! Kabla ya hapo nilikuwa naifutaga vumbi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…