Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

Yanga wanatimu Bora kuliko Simba, Swala la matokeo ya mchongo mnayopata aiondoi ubora wa Yanga. Ukipenda ndivyo ilivyo, ukikataa ndivyo ilivyo.
ubora upi YANGA wanao kuwazidi SIMBA SC? Ukweli ni matokeo ya jana na mlikamatwa kila idara Mayele hakutimiza ahadi, BM3 akawa na kazi ya kurusha mipira, Kibwana, na Mwamnyeto walikuwa wanashindana kuanguka anguka. T
 
Diara, Kibwana, Dickson Job, Mwamnyeto, Feisal Salum, Tuisila Kisinda, Stefan Aziz K, Mayele, Jisus Moloko, Farid Musa. Tafuta Mzee kati ya hao alafu utafute iyo Asilimia 70 unayosema. Ao niwachezaji ambao mara nyingi Wana anza kikosi Cha kwanza.
kwa kikosi hicho mkimwongeza na marefa ndiyo wanaweza pita makundi kule shirikisho na mjue hakuna mwepesi
 
ubora upi YANGA wanao kuwazidi SIMBA SC? Ukweli ni matokeo ya jana na mlikamatwa kila idara Mayele hakutimiza ahadi, BM3 akawa na kazi ya kurusha mipira, Kibwana, na Mwamnyeto walikuwa wanashindana kuanguka anguka. T
Katika kikosi Cha Simba sidhani kama Kuna wachezaji watazidi wa 4 wanao weza kupata nafasi ndani ya Yanga. Tena wa 4 utawapata Kwa tabu sana.
 
Ila simba iko kwenye mashindano na nyie mmetoka [emoji23] vichekesho sana hivi.
Katika kikosi Cha Simba sidhani kama Kuna wachezaji watazidi wa 4 wanao weza kupata nafasi ndani ya Yanga. Tena wa 4 utawapata Kwa tabu sana.
 
Katika kikosi Cha Simba sidhani kama Kuna wachezaji watazidi wa 4 wanao weza kupata nafasi ndani ya Yanga. Tena wa 4 utawapata Kwa tabu sana.
wachezaji wa SIMBA SC ni bora na huwezi kuchanganya safi na chafu zote zitaonekana chafu. Hata Feitoto ni mchezaji mzuri tatizo yupo kwenye timu mbovu na atastaafu soka bila kuingia makundu ya #CAFCL kama hatatafuta timu bora na yenye malengo makubwa.
 
Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.
Kwa apa ndani timu bado itaendelea kubeba Mataji ila Kwa soka la Africa kunahitajika figisu na kuhonga sana Marefa.
Nime mwelewa MO alipo amua kukimbilia kwenye Ngumi, amechoka kuhonga na bado timu Haina Cha maana inacho pata.

Nakushauri uongozi ni Bora kuchelewa kufanikiwa katika ngazi ya kimataifa kuliko kutumia nguvu nyingi kuhonga Marefa Ili utoboe Makundi na mwisho wake ni aibu tupu.
Uongozi ujikite katika kuendelea kujenga timu ya ushindani tulipofika ai pabaya.
Mmekosa matokeo mliyoyata uwanjani mnakimbilia kusema timu zinahonga yani vinyesi fc mna kazi kweli

Kwaio wale mliowafunga tisa mlihonga kiasi gani cha pesa
 
Diara, Kibwana, Dickson Job, Mwamnyeto, Feisal Salum, Tuisila Kisinda, Stefan Aziz K, Mayele, Jisus Moloko, Farid Musa. Tafuta Mzee kati ya hao alafu utafute iyo Asilimia 70 unayosema. Ao niwachezaji ambao mara nyingi Wana anza kikosi Cha kwanza.
Diarra - 29 (hana utulivu golini)
Kibwana - 22 (tuliona wasudan walivyomfanya akapotea)
Job - 22 (akijengewa kujiamini atasaidia)
Mwamnyeto- 28 (😂😂😂😂)
Feisal - 25 (hana kitu cha kuipa timu)
Tuisila - 26 (anakimbia kama pimbi bila malengo)
Aziz - 27 (mkadai pesa yenu kwa kweli)
Moloko - 25 (Kisinda 2.0)
Farid- 27 ( kwa sasa ndie mchezaji mzuri zaidi)
Aucho- 30 ( ama umri au uzito unamgharimu)
Djuma- 30. (apumzishwe sasa)
Bangala - 30 (MVP wa nyoko)
Lomalisa- 30 ( aende yanga princes)
Morrison - 30 (liability)
Bigirimana- 29 (huyu umri halisi ni 35)
Makambo- 29 ( miaka 33 halisi)
Ambundo- 27
Nkane- 19

Kikosi kimesheheni vijana wadogo sana. Hao wachezaji wote hapo hakuna anayeweza kuuzika kwa faida kwenda timu ingine.
 
Yanga wanatimu Bora kuliko Simba, Swala la matokeo ya mchongo mnayopata aiondoi ubora wa Yanga. Ukipenda ndivyo ilivyo, ukikataa ndivyo ilivyo.

Sasa ubora wa Yanga unadhihirika ktk michuano gani ikiwa mlianza kuchomekwa mwiko nje ndani na Rivers Utd, Kapumbu mwaka jana akatia doa siku ya wananchi,
Vipers nao wakachomeka mbili uchi, leo tena Al Hilal

Misimu kadhaa nyuma kabla ya Rivers, Township rollers waliwagonga hapa hapa Taifa

Sasa nyinyi ubora wenu upo ktk nn!???

Kubalini tu kuwa mna wachezaji wazuri ila maandalizi yenu ya preseason kwa kucheza na kina Transit Camp, Abajalo, Friends Rangers ya Manzese eti ndio kipimo cha kuandaa timu kimataifa YAMEWAHARIBIA..!!!

Simba wamemfunga Big Bullets huko Malawi, wamemfunga Agosto huko kwake, alishamfunga Plateau huko Nigeria,
Lakn mtani wangu wewe Taifa kwa Mkapa tu panakutoa jasho,,

Soo Simba japo yupo eneo moja la Kariakoo na Yanga lakn levels ni tofauti kabisa kabisaaa
 
Simba level zajuu katika kuhonga na ushirikina, uki mkamata eneo ilo unajipigia kama Ngoma. Kama tunavyo mtandika muda na wakati wowote.
 
Diarra - 29 (hana utulivu golini)
Kibwana - 22 (tuliona wasudan walivyomfanya akapotea)
Job - 22 (akijengewa kujiamini atasaidia)
Mwamnyeto- 28 ([emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
Feisal - 25 (hana kitu cha kuipa timu)
Tuisila - 26 (anakimbia kama pimbi bila malengo)
Aziz - 27 (mkadai pesa yenu kwa kweli)
Moloko - 25 (Kisinda 2.0)
Farid- 27 ( kwa sasa ndie mchezaji mzuri zaidi)
Aucho- 30 ( ama umri au uzito unamgharimu)
Djuma- 30. (apumzishwe sasa)
Bangala - 30 (MVP wa nyoko)
Lomalisa- 30 ( aende yanga princes)
Morrison - 30 (liability)
Bigirimana- 29 (huyu umri halisi ni 35)
Makambo- 29 ( miaka 33 halisi)
Ambundo- 27
Nkane- 19

Kikosi kimesheheni vijana wadogo sana. Hao wachezaji wote hapo hakuna anayeweza kuuzika kwa faida kwenda timu ingine.
Erasto Nyoni 42
John Boko 40
Jonas Mkude 38
ONyango Joash 41
Mzamiru 35
Chama 36
Shomari kapombe 36
Zimbwe Jr 34
Inonga 29
Manura 28
Kanute 28
Kibu 27
Okra 28
Okwa 29
Phili 29
Sasa mbaka apo hii sio timu ya mpira ni kituo Cha kulea wazee.
 
Niambie mchezaji yupi wa Yanga sijaweka umri wake halisi?
Hapa kikubwa ulichofanya umethibitisha mambo matatu muhimu:
1. Utopolo wenye akili ni wawili tu
2. Utopolo mna kinyesi
3. Kauli ya Enyamel kuwa uto ni manyani ni kweli.
 
Yanga Ipo kwenye njia sahihi, Mpira unaonekana, timu inaonekana kinachotakiwa kuongeza quality uwanjani muda si mrefu timu itafika mbali kimataifa.
Kwa apa ndani timu bado itaendelea kubeba Mataji ila Kwa soka la Africa kunahitajika figisu na kuhonga sana Marefa.
Nime mwelewa MO alipo amua kukimbilia kwenye Ngumi, amechoka kuhonga na bado timu Haina Cha maana inacho pata.

Nakushauri uongozi ni Bora kuchelewa kufanikiwa katika ngazi ya kimataifa kuliko kutumia nguvu nyingi kuhonga Marefa Ili utoboe Makundi na mwisho wake ni aibu tupu.
Uongozi ujikite katika kuendelea kujenga timu ya ushindani tulipofika ai pabaya.
ndo kaz kiredio inachukua maneno ya hapa inaenda kuchukua maneno ya sehem nyingine ikichanganya inatoa uozo kama huu toa point zinazoeleweka
 
Erasto Nyoni 42
John Boko 40
Jonas Mkude 38
ONyango Joash 41
Mzamiru 35
Chama 36
Shomari kapombe 36
Zimbwe Jr 34
Inonga 29
Manura 28
Kanute 28
Kibu 27
Okra 28
Okwa 29
Phili 29
Sasa mbaka apo hii sio timu ya mpira ni kituo Cha kulea wazee.
Click to expand...
Erasto Nyoni 35
John Boko 33
Jonas Mkude 29
ONyango Joash 27*
Mzamiru 26*
Chama 31*
Shomari kapombe 30
Zimbwe Jr 26*
Inonga 28*
Manula 27*
Kanoute 25*
Kibu 23
Okra 29*
Okwa 29
Phiri 29*
Kennedy 28
Sakho 25*
Israh 22*
Banda 22
Gadiel 26
Outtara 29
Nilioweka nyota ndio first eleven ambayo wastani wa Umri ni miaka 26.8 wakati wastani wa Kikosi cha kwanza cha Yanga ni miaka 28.

Hii ina maana kuwa wachezaji wa Simba bado wana uwezo wa kucheza miaka 4-5 wakati wa Yanga ni kwa nadra watakuwa na uwezo mzuri kwa miaka 2 ijayo.
 
Back
Top Bottom