Sasa ubora wa Yanga unadhihirika ktk michuano gani ikiwa mlianza kuchomekwa mwiko nje ndani na Rivers Utd, Kapumbu mwaka jana akatia doa siku ya wananchi,
Vipers nao wakachomeka mbili uchi, leo tena Al Hilal
Misimu kadhaa nyuma kabla ya Rivers, Township rollers waliwagonga hapa hapa Taifa
Sasa nyinyi ubora wenu upo ktk nn!???
Kubalini tu kuwa mna wachezaji wazuri ila maandalizi yenu ya preseason kwa kucheza na kina Transit Camp, Abajalo, Friends Rangers ya Manzese eti ndio kipimo cha kuandaa timu kimataifa YAMEWAHARIBIA..!!!
Simba wamemfunga Big Bullets huko Malawi, wamemfunga Agosto huko kwake, alishamfunga Plateau huko Nigeria,
Lakn mtani wangu wewe Taifa kwa Mkapa tu panakutoa jasho,,
Soo Simba japo yupo eneo moja la Kariakoo na Yanga lakn levels ni tofauti kabisa kabisaaa