Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Siku ya kwanza nikiwa na rafiki yangu, wakati tukikaribia kutua tukaanza kuumwa masikio.Mwanzoni kila mtu alijifanya haumwi ila mwisho wa siku tukajua sote masikio yanatuuma.Jamaa alinichekesha baada ya kuniambia,"Wabongo watu wabaya sana, yaani hata hatujatua wameshafanya yaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€".
 
Watu wa Kigoma si watu wazuri
 
Tokea nimeanza kusoma huu uzi nimepata experience sana na shemeji yenu namkamata kwamba nimewahi kupanda ndege kumbe hollAh...

Sasa mniambie ndege ipi ya bei rahisi kutoka arusha to dar ,dar to mwanza, dar to mbeya..
Nikimaliza hizi route niazne kutoka nnje
 
Kwa sasa Air Tanzania ndo nafuu Kwa route za ndani ya nchi pia nchi jirani mfano Uganda, Burundi, Zambia na Zimbabwe.
 
Nimecheka sana hapo anaitwa Konda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…