Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Siku ya kwanza nikiwa na rafiki yangu, wakati tukikaribia kutua tukaanza kuumwa masikio.Mwanzoni kila mtu alijifanya haumwi ila mwisho wa siku tukajua sote masikio yanatuuma.Jamaa alinichekesha baada ya kuniambia,"Wabongo watu wabaya sana, yaani hata hatujatua wameshafanya yao😀😀😀".
 
Watu wa Kigoma si watu wazuri
 
Tokea nimeanza kusoma huu uzi nimepata experience sana na shemeji yenu namkamata kwamba nimewahi kupanda ndege kumbe hollAh...

Sasa mniambie ndege ipi ya bei rahisi kutoka arusha to dar ,dar to mwanza, dar to mbeya..
Nikimaliza hizi route niazne kutoka nnje
 
Kwa sasa Air Tanzania ndo nafuu Kwa route za ndani ya nchi pia nchi jirani mfano Uganda, Burundi, Zambia na Zimbabwe.
 
baada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.Nı mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"

2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje

3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JKİ Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.

4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.

5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"
Nimecheka sana hapo anaitwa Konda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya kwanza nikiwa na rafiki yangu, wakati tukikaribia kutua tukaanza kuumwa masikio.Mwanzoni kila mtu alijifanya haumwi ila mwisho wa siku tukajua sote masikio yanatuuma.Jamaa alinichekesha baada ya kuniambia,"Wabongo watu wabaya sana, yaani hata hatujatua wameshafanya yao😀😀😀".

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom