M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
ngoja nijichange nije kupanda ATCL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani inabidi ziboreshwe zaidiEscalator mpaka kesho ni ushamba wangu hata nizikute wapi huwa siwezi zitumia jmn loh,sijui nifanyeje,..nlitumia once tu nikaona siyawezi mhh ushamba mzigo
Sasa ulimuonaje jamaa kama ameng'ang'ania siti wakati ulikua umelala.??!Mi wala sikuwa na mcheche. Nadhani kwavile haikuwa ukubwani, hahahhhaaaa!!!. Ila kuna siku tunatoka site (mgodini), kuna jamaa yangu alikuja kwenye interview. Kwahiyo siku anaondoka na mimi ndiyo naenda likizo. Tukapanda wote kindege cha watu 12 toka site. Hichi kindege (huwa nakiita kibajaji) sometimes mkiwa hewani kinajiachia kama pangaboi limezimika vile. Lazima ung'ang'anie siti mazee. Basi jamaa yangu ilikuwa full kung'ang'ania siti. Akinicheki mi nimeuchapa usingizi mwanzo mwisho. Ile karibia tufika Dar akaniuliza ''we jamaa umewezaje kulala?''. Mi nikabaki nacheka.
Halafu sijui kaanini, sehemu unazozichukulia kuwa ni karibu ukisikia majina yake ndio huwa mbali kuliko sehemu unazoweza kuona ni mbali ukisikia majina yake, mfano china au u. S. ADAR-SYDNEY masaa 23 hamu ya ndege iliniisha.
Ndio maana tunasema "MUNGU NI WA AJABU SANA, MUNGU NI MKUU"aisee ndege bado naitafakari iweje dude zito vile lipae hewani masaa kadhaa bila kuanguka. Shikamoo Mkoloni mweupe.
Acha kabisa ndugu, u r very right. Fikiria ndani ya nchi moja kwa ndege ni zaidi masaa 5 na nusu (SYDNEY to BRISBANE zote Australia). Halafu unakaa huko kijijini kwenu unajidanganya Tanzania ni nchi kubwa na tajiri sana. TEMBEA UKAONE watu wa shoka wanavyopiga kazi kujiletea maendeleo. .Halafu sijui kaanini, sehemu unazozichukulia kuwa ni karibu ukisikia majina yake ndio huwa mbali kuliko sehemu unazoweza kuona ni mbali ukisikia majina yake, mfano china au u. S. A
Sisi tujikite na kuwekeza kwenye viwanda, ndege ina changamoto sana. Pia tuwapige Promo wasanii wetu akiwemo Bilionea Manfongo.Ila Mwarabu kaamua kwa moyo mmoja kuwekeza kwenye biashara ya Ndege EMIRATES, Qatar na Etihad, Turkish & kidogo Royal Air Maroc . Sisi tutafika lini huko?
Ajali ya ndege ni adimu ila ikitokea ni catastrophicSijui kwa nn bado watu wanasafiri maelfu ya kilometa kwa barabara na kuna uwezo wa kukwea "mwewe" kutunza muda na kupunguza likeliness ya ajali.