Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

Kama Covid bado ipo serikali itahadharishe wananchi, tunapokwenda mahospitali tunakuta madaktari na manesi wamevaa barakoa sasa hili la.leo ndio linanipa mwanga kwamba wenzetu wa sekta ya fya bado wanajilinda ila wananchi wamerelax
WHO wametangaza kwamba Uviko 19 sio janga linalotishia maisha tena Kwa sababu idadi ya vifo imepungua il hawajasema ugonjwa umeisha au kudhibitiwa sawasaw.
 
Dr wake amesema hajawahi kuwa na historia ya magonjwa tajwa hapo Juu ,kikubwa alichosema ni shida ya hewa kwenye mapafu.
 
Of course Kuna upepo wa mafua makali hata Mimi umenipiga karibu wiki zima Hadi vidonda kwenye pua na homa Juu plus kichwa kuuma sana but nashukuru Mungu nilipona na wala haikuzuia kufanya ishu zangu na sikuwahi kuwaza kwamba ni Uviko 19.
 
70 Years it is a gift from above may God keep him in a peace place.
 
Of course Kuna upepo wa mafua makali hata Mimi umenipiga karibu wiki zima Hadi vidonda kwenye pua na homa Juu plus kichwa kuuma sana but nashukuru Mungu nilipona na wala haikuzuia kufanya ishu zangu na sikuwahi kuwaza kwamba ni Uviko 19.
Ulilala na mwanamke bila kinga aiku chache zilizopita?
 
Sasa hiyo postmortem imefanyika lini mpaka huyu Dk. aje na hiyo conclusion. Hilo tatizo la kuganda damu limejulikana kabla au baada ya kifo.......!!?
 
Umejuaje kwamba "hawapo kwenye mataifa mengine". Daktari alieleza hivyo, au umeona uongeze ya kwako mwenyewe?

Hili la Membe naona 'mchawi' na nadharia kemkem zitaundwa na wataalam wa maswala ya aina hii.
 
Daktari amesema kuganda kwa damu kifuani kitaalam inaitwa pulmonary embolism
 
Prof kazingua !! Amejuaje kama ni virus wakati hamna sample imechukuliwa? Hii inaleta taharuki mwa madaktari na manesi waliyomhudumia na waombolezaji ! Je chanjo za covid 19 hakupata?
Sasa hapa wewe unajipa ujuaji kuliko huyo Prof. aliyesomea kazi hiyo miaka na miaka?

Pamoja na kwamba vipimo ni sehemu muhimu ya utambuzi, lakini hujui kwamba dalili nyingine zinazohusu ugoinjwa husika ni sehemu muhimu za utambuzi; wewe unasubiri vipimo tu?
 
Ahahahahaha! What goes around, comes around! Ahahahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…