Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

hahaah ushawahi kwenda kwa daktari kupima malaria afu baadae akakuonyesha huyu ndio mdudu anaesababisha malaria? do sijui unafikiria kutumia nn au unajipa matumaini,
Ndio ,na anakwambia kabisa wapo wawili au watatu
 
Acha ulongo wewe ? Ulitembea nao barabarani labda. Hapa ninamaanisha kufanya nao mapenzi. Hard sex.
Kama ukimwi upo leo hii nisingekua mwenyeji wa hii dunia, kuna siku nimeenda na demu mkali gest kumbe kaja na vipimo vya HIV kaniambia ww nakujua ni play boy tupime ndo unile, na hivi nlikua nshapiga vyombo nkaona poa tu !! Kupima nakuta niko negative nkaona hiki kipimo kisintanie nkaenda zahanati baada ya siku tatu nkakuta niko safi tena nesi aliyenipima ananipongeza kwa kujitunza na ujasiri wa kupima nae nkamla vike vile
 
...mbaya zaidi tuna madaktari vilaza ambao hawataki kujishughulisha kujua ukweli nje ya walichokaririshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda hospital yoyote ile, tafuta watu ambao wameathirika na UKIMWI (UKIMWI haupo). Mwambie daktari, achukue damu yao kisha wakuwekee. Muone BillGate akuchome hiyo sindano ya UKIMWI haupo halafu baada ya miezi 3 uje utoe uthibitisho hapa.
 
Kwa nini iwe sindano wakati mnadai unaambukizwa kwa ngono zembe, acha uzwa zwa
 
Ni kwa vile unaotembea nao hawana maambukizi.
 
Tuendelee kula papuchi.Kwani kama ni kufa ,utakufa hata kwa ajali bodaboda.

Lakini kumbuka Ukimwi upo na unaua.
 
Ukimwi upo unatesa kimwili na kisaikolojia . Ambao tumeshuhudia watu wa karibu wakiugua na kuteketea tunajua mateso yake. Chukua tahadhari ndugu.
 
r.virus n wabaya sana kwa sisi tunaoishi kwa neema
 
wewe unaleta utoto mjombaa kaa chonjo
 
Hili suala sio mara ya kwanza kujadiliwa humu JF....tumeshajadili sana hili suala ingawa watu ni wagumu kuelewa/kudadisi.

Halafu huyo jamaa anayeonekana kwenye hiyo video huwa nawasiliana naye kupitia email yake.Mambo haya tulishayajua muda mrefu sana.
 
Tuendelee kula papuchi.Kwani kama ni kufa ,utakufa hata kwa ajali bodaboda.

Lakini kumbuka Ukimwi upo na unaua.

Naona watu wengu humu hawajui hata basic knowledge...ni hatari sana,na ndio maana wengi wanapinga hovyohovyo tu,hawajui hata kile wanachokipinga.

Jamani ukimwi na HIV vitu viwili tofauti,tunaojua tunasema ukimwi UPO ila HIV ndio hakuna,na huo ukimwi ulikuwepo tangu mwanadam anaanza kuwepo katika hii dunia....ukimwi hauui,kama hamjui mwulizeni daktari yoyote yule anayejielewa(maana wapo wasiojielewa) atakwambieni vivyohivyo.UKIMWI UPO LAKINI HAUUI/HAUTISHI kama mlivyoambiwa,HIV HAYUPO/HAKUNA.

Hakuna mtu/marehemu aliyeandikiwa kafa kwa ukimwi kwenye cheti cha kifo katika hospitali yoyote ile.Kwahiyo wewe IDIOT EMBICILE fahamu hilo kwanza,na wengine pia mfahamu hiyo tofauti kwanza,halafu ndio muanze kujadili yanayofuata labda mtaanza taratibu kuujua ukweli halisi.
 
Kwa nini iwe sindano wakati mnadai unaambukizwa kwa ngono zembe, acha uzwa zwa
Aisee,yaani jamaa hawezi kujiuliza kabisa...yaani mpaka udungwe sindano ndio upate, ha ha haaaa....blacks bado sanaaa upstairs...

Halafu hajiulizi kwanini kuna ndoa nyingi sana ni discordant na wamezaa watoto ambao ni negative...hajiulizi pia kwanini wapo watu wengi sana wameambiwa positive na hawatumii hizo sumu(ARVs) na wana afya njema zaidi ya miaka 20 sasa,wapo wengi sana...hajiulizi pia kwanini wapo watu walioambiwa positive kumbe wako negative na wametumia hizo ARVs halafu wakaanza kuugua matatizo makubwa kama ini nk na kupata dalili nyingine zifananazo na huo ukimwi tunaoambiwa...

Africa Afrcka Africa,wake up wake up wake up...

Angalau tuna rais mjanja kwenye masuala haya ya afya,huwa anapangua upuuzi mwingi sana kuhusiana na masuala ya afya ambao unaletwa na hao tunaowaita wahisani(USAID,GLOBAL FUND ...you name them...)

Where are you people?...are you living here on earth?..wake up and start to use your brain...

Mkuu hongera sana kwa kuondokana na huu utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…