Kwa nini umetaja Kahama na Maganzo za Shinyanga! Nini cha ziada!?Nenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Hapo cha kufanya cha kwanza kabisa ni kutopanic cha pili kutokurupuka kumeza arv's zina madhara makubwa kama zinapandisha cd4 kama wanavyodai hata mbegu za mlonge hupandisha cd4
.Nasema usitumie ARVs kwa sababu nilizokwisha eleza mimi na zimejirudia tena kwenye post nyingi Ukiona unaumwa mara kwa mara,lazima utakuwa na tatizo fulani specific linalokusumbua na lazima litakuwa na tiba.Tibu hilo tatizo na uendelee na maisha Vinginevyo nilitoa ushauri wa watu kubadili staili zao za maisha na waishi maisha bora yenye kufuata taratibu nzuri kama vile vyakula bora,mazoezi, nk.
Ukifanya hivyo HIV/AIDS kwako wewe itakuwa historia ambayo utakuwa unawasimulia wajukuu zako jinsi ulivyodanganywa enzi hizo(yaani sasa).Huu ni ushauri wa bureee kabisa tofauti na watu wengine mbumbumbu wanavyodhani eti mimi nataka kufanya biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe hata hata hawa ni wanasiasa?View attachment GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdfWana Sayansi hawabishani na mwanasiasa siku zote, we endelea na siasa sayansi iache ilivyo.
Alie sema kuna vijidudu vya magonjwa ndo alie ema pia kuna virus, na kuleta tiba za magonjwa.
Siasa za chadema siku zote ni maneno kama yako sio vitendo, katombane mwenye HIV + rNA, tena sugua adi damu, kaa miaka 2 kama hujawa fimbo.
Captopril
Usipo amka utaendelea kuzika mpk mwishoWadanganye hao hao. Binafsi nimezika watu wengi waliogua HIV AIDS. Tena waliteseka sana ukizingatia kulikuwa hakuna ARV kipindi cha miaka ya tisini mwishoni. Usiamini kila unachokiona kwenye internet.
No comments , kama unaamini mungu yupo kwa imani utakuwa mjinga , kama huamini Mungu hayupo ww ni jembe, nakupa pongeziHivi wewe hata hata hawa ni wanasiasa?View attachment 1058925
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Hulazimishwi kuamini ila unatakiwa ucheze na FACTS. Story za Mungu ni imani lkn swala la HIV ni Sayansi. Na sayansi tunaangalia Empirical Evidences.No comments , kama unaamini mungu yupo kwa imani utakuwa mjinga , kama huamini Mungu hayupo ww ni jembe, nakupa pongezi
Amini unacho ana nisahihi kwako ndo maisha yanavyotaka siku zote, sio lazima mlingane mawazo yenu watu wote duniani.
Captopril
Acha kutisha watu mkuu,unataka kusema we umetembea na mwanaume mmoja tu?Nenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Weka akiba ya maneno!...ni ugonjwa wa tabia na akili,..madaktari wetu hawa vilaza wa kukariri kila walichofundishwa darasa bila kufanya research hawawezi elewa kitu..pathetic
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Sasa wewe ambaye hata mfumo wa cd4 huujui halafu unabisha bisha tu ueleweshwe vipi uelewe?Seems kama huelewi unachotaka kuwaaminisha watu "hebu tuanzie kwanza kwenye hiki kitu ulichokiandika CD4,,,mkuu hebu shuka nondo zisizo na shaka ,,CD4 ni kitu gan ,,kinapatikana wapi ,kazi yake nn,,vitu gan vitatokea ukipungukiwa au kukosa kabisa CD4,,umeshawahi kuona CD4? Tuwekee mchoro wa CD4,, kuna kitu kinafanana na CD4 Kimuundo na kazi kinaitwaje ,,,jibu haya maswali ili tukuulize maswali ya msingi,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu angalia ID yangu vizuri then ndo useme mimo ni deception binafsi nammis huyo mtu hapa jukwaani sijui alienda wapi
Aisee mkuu tuwekee vizur hili jambo i want to go in deeplyWamemuua jamaa pembanji hapo..alikuwa anataka kuleta documentary la huyo babu wa pembeni ambaye alisema ukimwi sio ugonjwa an kwamba ukila aina fulani ya chakula nadhani vyenye alkaline nyingine basi hutakaa upate hilo gonjwa la akili. Serikali ya marekani ilimpekela mahakamni huyo babu na akashinda kesi. Sema ndo haikupita mda akafa kifo cha kutaanisha ikisemakana CIA walimuua. Sasa huyu dogo karibuni alikuwa amepitia vzr study za huyo babu na akawa anakuja na documentary nzima ya kuulezea huu uongo wa wazungu....JUZI KALA RISASI YA KICHWA KWENYE UMATI WA WATU. IT MEANS ALIYEMPIGA NI MTU WA MAFUNZO.
WAZUNGU HAWATAKI MJUE KITU KUHUSU HILI GONJWA.
HUYO BABU ALISEMA NI AINA FULANI TU YA MSOSI BASI KILA KITU KINARUDI SAWA.View attachment 1059971
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemuua jamaa pembanji hapo..alikuwa anataka kuleta documentary la huyo babu wa pembeni ambaye alisema ukimwi sio ugonjwa an kwamba ukila aina fulani ya chakula nadhani vyenye alkaline nyingine basi hutakaa upate hilo gonjwa la akili. Serikali ya marekani ilimpekela mahakamni huyo babu na akashinda kesi. Sema ndo haikupita mda akafa kifo cha kutaanisha ikisemakana CIA walimuua. Sasa huyu dogo karibuni alikuwa amepitia vzr study za huyo babu na akawa anakuja na documentary nzima ya kuulezea huu uongo wa wazungu....JUZI KALA RISASI YA KICHWA KWENYE UMATI WA WATU. IT MEANS ALIYEMPIGA NI MTU WA MAFUNZO.
WAZUNGU HAWATAKI MJUE KITU KUHUSU HILI GONJWA.
HUYO BABU ALISEMA NI AINA FULANI TU YA MSOSI BASI KILA KITU KINARUDI SAWA.View attachment 1059971
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ufe hawakuachi....Maana unaamsha watu. Imagine hayo magonjwa ambayo yanaingiza pesa kibao yangepata dawa unajua industry ya phamarcy..medicine ingefeli kiasi gani. How much money ingepoteaso hawawezi kukuacha kamwe. Haya magonjwa ni program ya DEPOPULATION.Halafu nilichonote ni kuwa wataalam wote wa dunia waliowahi kupinga kuhusu hiv/aids kuwa ni fake hawakuachwa salama
Sent using Jamii Forums mobile app