Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Sawasawa mkuu nimekupata vyema[emoji120][emoji120]
 
mkuu agiza kinywaji nitalipa huyu bwana badala asidie mtu anabaki tu kutishia si bora asingesema watu tutafute kwingine
 
Na kinachofanya uhisi haya hajayapitia ni nini....haya maisha watu wanazunguka na wanapitia mengi chief
Aaah! si kwamba napinga kuwa mleta uzi hajayaishi haya madhila anayotuhadithia, ila niliandika vile kumtoa shaka mkuu mwenzetu humu kwa kuwa alionyesha wasiwasi kuwa muhusika aliwahi kuleta story hapo siku za nyuma ambayo ilionyesha maisha yake yote yalikiwa sinza, na ile story ilimuhusu moja kwa moja, mara tena kaja na story kuwa maisha yake ni kigoma, kama vile inachanganya na kuonesha usanii flani hivi.
Mtazamo wangu yaweza kuwa mleta uzi anavaa uhusika ili kunogesha uzi.
 
Hata Mimi,faida ya pesa kwangu Nile vizur,nivae vizur,nipge mbunye
Mie mkuu naangalia how can I save my surrounding nimetokea jamii masikini so nawaza hata kuwajengea shule kama laizer anavyofanya kule kijijini kwao.pia wale Wazee Wangu waliovuka 65yrs kule kijijini niwe nawapa angalau posho ya kutumia kama lakairo anavyofanya kwao rorya.
Nawaza how can help like 1000 my village boys to get elimu mpaka chuo kikuu kwa nguvu zangu.
I feel urge to suffer just to rescue others mkuu. This is my burning desire. I'd like to make or leave a mark after my life hapa duniani.
Am ready to sacrifice my life for others this is my ambition.
So kila MTU ana dream zake just ni kuombeana tuzitimize usione za mwenzako hazifai za kwako ndo zinatakiwa kila MTU azifuate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…