gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,915
- 3,019
Yaaan imagine....[emoji19]Mbona part ,4 hakuna mamaeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan imagine....[emoji19]Mbona part ,4 hakuna mamaeee
Sawasawa mkuu nimekupata vyema[emoji120][emoji120]Mkuu Jimena mara nyengine mtu huleta story fulani hivi ya kutunga na akavaa uhalisia kama yeye ndo staring wa hiyo story, lakini mwisho wa siku ni kutaka tu kuburudisha wana jf na pia kupunguza stress kwa baadhi yao, kwa hiyo binafsi mwanajf mwenzetu chizi maarifa iwe halisi au fiction itakuwa imetufikia na pengine tukapata pia mafundisho ndani yake.
Kwa hiyo usishangae kila story anayoleta yeye ndio muhusika wa hiyo story.
mkuu agiza kinywaji nitalipa huyu bwana badala asidie mtu anabaki tu kutishia si bora asingesema watu tutafute kwingineMimi nadhani kama una nia ya dhati ya kumsaidia mtu utamsaidia tu, sababu anachofanya ni maamuzi yake na sio yako, pia kiuhalisia unatakiwa kumpa namna ya kufika huko kwa mtaalam husika na yeye ndio atachagua mwenyewe, na sio unaanza kumpa tahadhari ambazo hazina msingi, mimi nadhani ni mmoja wa watu ambao niliwahi kukuomba connection lakini hukunipa na sidhani hata msg yangu ulijibu, embu mwisho wa siku tuache unafiki, mtu akikuomba kitu kama hutaki sema sitaki kukupa, sio unazunguka zunguka na kutoa vitisho na tahadhari ..kwani anayeamua kufuata hio njia hajui? Anyway ni makavu laivu nakupa mzee baba, na wengine wenye tabia kama yako, nimepata shida kupata connection lakini kuna wenye nia ya dhati ambao wamenisaidia.
Upo sawa mkuum nawazo mtu akianzisha uzi ss tue na view tu mpka amalze part zote ndio tuanze kushambulia coment au nasema uongo ndugu zangu[emoji846]
Aaah! si kwamba napinga kuwa mleta uzi hajayaishi haya madhila anayotuhadithia, ila niliandika vile kumtoa shaka mkuu mwenzetu humu kwa kuwa alionyesha wasiwasi kuwa muhusika aliwahi kuleta story hapo siku za nyuma ambayo ilionyesha maisha yake yote yalikiwa sinza, na ile story ilimuhusu moja kwa moja, mara tena kaja na story kuwa maisha yake ni kigoma, kama vile inachanganya na kuonesha usanii flani hivi.Na kinachofanya uhisi haya hajayapitia ni nini....haya maisha watu wanazunguka na wanapitia mengi chief
Mie mkuu naangalia how can I save my surrounding nimetokea jamii masikini so nawaza hata kuwajengea shule kama laizer anavyofanya kule kijijini kwao.pia wale Wazee Wangu waliovuka 65yrs kule kijijini niwe nawapa angalau posho ya kutumia kama lakairo anavyofanya kwao rorya.Hata Mimi,faida ya pesa kwangu Nile vizur,nivae vizur,nipge mbunye
Mm ndo ninae toa link [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo telegram now.Mimi ndiye napokea kiingilio
Tulia Kama uko gesti unamsubiri uliyemtumia nauli ya bodabodaPart4 vipi
Umeanza kutia mchanga na huku[emoji119]Tupo telegram now.Mimi ndiye napokea kiingilio