Visa vya matapeli na watoto wa mjini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Mshana Jr hiki kisa ni cha kweli na kilitokea kama miaka kumi iliyopita pale Kariakoo. Alikuwepo bwana mmoja ana duka lake akiuza nguo za jumla. Wateja wake wengi walikuwa watu wa mikoani na wengine kutoka nje ya nchi kama Zambia. Biashara ilikuwa inachanganya kweli kweli. Nje ya duka lake alikuwepo mzee mmoja vijana wakimwita babu. Huyo mzee kazi yake ilikuwa ni kufunga mafurushi ya nguo za wateja walizonunua tayari kwa kusafirisha kwenda mikoani. Alikuwa maarufu na mwuungwana kweli kweli na wateja wengi walikuwa wanamtumia kufunga mizigo yao. Lakini huyu mzee alikuwa na kazi nyingine ya ziada i.e. alikuwa anatumiwa na mwenye duka kupeleka fedha za mauzo benki. Ilikuwa hivi: kwa vile duka lilikuwa linauza mauzo mengi, mwenye duka alikuwa anaogopa kutoka na fedha yeye mwenyewe kupeleka bank kwa kuogopa majambazi (yalishatokea matukio mengi ya watu kuvamiwa wakati wa kupeleka fedha bank). Hivyo alikuwa anakusanya mauzo ya hata wiki moja halafu anafunga kwenye mfuko mchafu chafu anampa yule mzee anapeleka bank ambako mke wa mwenye duka alikuwa anatangulia ili ku-deposit. . Lakini kuna kitu kimoja. Yule mzee alikuwa anasema ni mtu wa Morogoro lakini hakuna aliyekuwa anajua hasa undani wake. Hata nyumba aliyokuwa anaishi haswa hakuna aliyekuwa anajua ila ilifahamika tu kuwa anaishi Manzese Midizini. Kusema kweli alikuwa ni mtu mzima na hakuna aliyefikiri hata kidogo angeweza kuasi. Na pale mtaani alikuwa maarufu sana na alikuwa amefanya kazi ya kufunga mizigo kwa muda mrefu. Kumbe alikuwa anawalia timing... siku moja akapewa sh milioni 24 apeleke bank (kipindi hicho ni fedha nyingi). Akatokomea anakojua mwenyewe. Mke wa mwenye duka akasuburi bank wee alipoona hatokei ndiyo wakashtuka. Wakajaribu kufuatilia mpaka nyumba aliyokuwa anaishi Manzese lakini wakaambia alishahama kama miezi mitatu iliyopita. Walijaribu kufuatilia sana mpaka Morogoro lakini hakuna aliyekuwa anajua hasa ni mwenyeji wa Morogoro sehemu gani.
 
Bora umeleta huu Uzi. Ktk Uzi wetu ile wa dar na vituko vyake nilikugusia kuhusu utapeli uliokuwa unafanyika pale sokoni manzese kituo cha Bakhresa. Aisee ktk dunia ya utapeli mpaka tunaingia mitamboni mhaya anaongoza na hakimbii kesi.

Pale kulikuwa na wazee watu wazima wahaya ndiyo walikuwa wanaongoza jahazi na wengine wanafuatia. Hivi ulishawai kutapeliwa na mzee wa miaka 60-70 basi hiyo ni manzese. Nitakuwa natupia kidogokidogo as I could remember and get them from the original source. Ila kwa hint tuu JB muigizaji alikuwa anafundishwa utapeli manzese.

Matapeli wazoefu walikuwa wanaitwa walimu na wale wasiowazoefu walikuwa wanaitwa wanafunzi.


Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 

nyie ndio wa “bebi nikwambie kitu?” [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bosi goloko huyoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We si umepata haya maujanja juzi tu kutoka kwenye uzi wa mtandao pendwa, ushakuwa bingwa?
 
Tapeli gani hata kudanganya hujui??[emoji851]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza, shenzy kabisa, hahahahahaaaaaaa
Samahani lakin
 
Ni mm 100% ndo maana siachi kutapeli maana picha yangu tu ukiiona kama mtakatifu mtoto nimejistiri unajua demu ndo huyu kumbe tapeli fulani hivi la Mzinga mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we Tapeli Ila sura hyo ni yako kwa asilimia 40 zilizobaki ni sura ya foundation. Amini nakwambia
 
Duuuh aiseeeee Wewe hadi nao unaongoza kilinge dk tano goli 5,kweli we Noma
 
Braza, shenzy kabisa, hahahahahaaaaaaa
Samahani lakin
[emoji23][emoji23][emoji23]umeni2C halafu ukaomba radhi.. Duh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Wacha wee... Naziona dalili zote za nauli kutumwa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 

Hakuna tapeli anayejiita tapeli. Acha uongo
 
Dah aisee umenikumbusha dom 2010,kuna rafiki yangu alijifanya kula laki alitumiwa nauli na mpemba wakutane dar akaanza kumzingua ,mbona alimrudisha pesa ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…