Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Hiyo ya kwanza jamaa aliua haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio poa
 
hii mkuu mbona limenikuta
few years back jumapili moja hivi nilisogea benk CRDB Vijana Jiran na CCM Lumumba kuweka mzigo . nilikua ka na 4m hv. nimefka pale fresh tu nkachukua namba angu nikajaza particulars zangu ready ku deposit.
Wakati nipo kweny viti nasubili namba angu kuitwa ilinikaudumiwe, bize with my phone kunajamaa pembeni angu kaniuliza "kaka wapi wanachange dollar $ ". nami kuangaza huku na huku sikuona sehemu ambayo pengeni imeandika kua n spesheli kwa kakuexchange mzigo, basi nkamwambia sogea CUSTOMER CARE watakufamisha vizur

hapo hapo kunajamaa nyuma etu akawa kama kasikia maongezi yetu vile akainama kwa mbele kuongea na yule jamaa iliamsaidie. wakawa wanaongea pale nami kiaina nikawa nawasikiliza kuwa jamaa yupo na USD 22400 kazipga kwa bosi ake muhindi. Jamaa mwenye zile dollar akaniuliza kuwa dollar zake hzo znawezakua kama na bei gan kibongo asa wakati nataka muambia ni kiasi fulani jamaa wa nyuma et kanibonyeza kuwa yule jamaa nisimuambie exactly figure ili tumpge, Hapo hapo nkaingia kweny scam mzee

hapo nikaona BIKO si ndio hii BIKO BIKO

Yule jamaa tukampanga kuwa tunaeza masaidia ila inabidi tutoke katika ile bank na tukambadilishie kweny B` de change za kawaida

tumefika near de change lumbumba ile ile jamaa anadai et anaogopa mahind wa wasije mkamata et yaweza kuwa wanamtrack sijui nini so inabidi mmoja wetu apart from him aende kubadili

Niliomuamba single note dollar 100 nkabadili ilinijue mzgo ni real or not. Jamaa alitoa ila kwenda kupadilisha akaenda jamaa mwengine ,tuka baki wawili. Jamaa kurud kwanza kaniita pembeni kaniambaia kuwa kule imetoka kama miambili hv so akanipa mia ilinikampe mshikaji na nimuambie kuwa ndo mzgo uliotoka kwny ile dollar 100.
kimbembe kilianza pale nilipo muambia jamaa angu kuwa ila mia tuliofinya nikae nayo mimi jamaa akawa anasema kausha kwanza nami nka sema poa with a question mark kwa head?

Baada ya kucheki mzgo, time ya kuubadili wote ikafika sasa. utaratibu n hule hule inabidi mmoja wetu kat yang na jamaa ndo aenda. ofcourse mimi sikua na haraka. first attempt akaifanya jamaa kachua baasha akasepa kabla hajafika mbali jamaa mwenye mzigo ananimbia jamaa et amuhamini inabidi nimuite aache vtu vyake kama bond et in case alipotea na ulimzgo jamaa nae apate kujifaliji. jamaa kwel karud akatoa pesa zake alizokua nazo mfukoni na simu wakanipa mimi.

jamaa kaondoka hata ajafika mbali jamaa mwenye mzigo ananimbia jamaa et hamuhamini bora niende mimi ananiamini tukamuita jamaa kurud. baasha wakanipa mimi nikamshukuru mungu nikasema WALLAH NIKIFANIKIWA KUKUNJA ILE KONA ILE NACHUKUA BODA NA TEMBEA VIBAYA SANA.
ile naanza kumove tu jamaa wnasema rud bhana inabidi niwaachie vitu na pesa zangu mana naweza sepa na rundo.
ikabidi ni waulize lengo haswa la mimi kunitoa kule bank nakuja mpaka huku. lengo nikubadilisha pesa za jamaa huyu, ASA PESA ZANGU NA SIMU ZINAUSIANA VIPI?
JAMAA ANGU KANIITA PEMBENI

eti
ananilaumu nakua ka sielew mambo zile pesa ninyingi sana inabidi tuzpge teteheheheh
basi nikaomuomba another 100 dollar nikabadilishe mimi mwenyew wakanipa tukaanza kuzunguka kutafuta sehemu ya kubadilisha kwan sehemu nyingi zilikua zimefungwa, tukafika mpaka kariaokoo mbele etu kukawa na beurue de chande moja ila ilikua imefungwa.

cha kushangaza jamaa niliekua nakaanae vikao akapotea kidogo kuja kurud anarud na mmaza mmoja hv anadai anafanya kaz kwenye iyo de change na mwenye fungua za office iyo ametoka akirud ndo atafungua. asa yule jamaa angu akamuambia yule maza alie kuja nae, kuwa kuna pesa tunataka kubadili akauliza ziko wapi jamaa kasema sample n nayo mm ila kunamzgo mwingi zaidi ya uwo tupo nao. yule maza nkampa ilae note ya USD,

niliponishangaza ni pale maza alipotoa laki2 na ushee akatupatia nami nikampa ile dollar, moja kwa moja nikagudua kua its a TOTAL DSM SCAM. Mana niliona haiwez kuwa raisi kuexchang kienyeji at level



NIKASEPA ZANGU
 
Heeee watu sio watu khaaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uliponea tundu la sindano kubamizwa kwenye mlango

Jr[emoji769]
 
duuuh uliponea chupu chupu,,,mie nikiendaga Bank au kwa wakala wa mitandao ya simu,,au kama na hela nyingi mfukonI .naenda Nunua bidhaa huwa siongei na mtu yeyotee yulee hata awe katika hali gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Avartar yako inaendana nawe kwa angalau asilimia 75% weka namba nami nitume nitapeliwe
Unafikiri hiyo ni sura yake? Hiyo ni picha ya mjukuu wake. Mwenyewe anamakunyanzi halafu mashine ni kama dafu ukilitoboa kwa juu ndani waogelea
 
duuuh uliponea chupu chupu,,,mie nikiendaga Bank au kwa wakala wa mitandao ya simu,,au kama na hela nyingi mfukonI .naenda Nunua bidhaa huwa siongei na mtu yeyotee yulee hata awe katika hali gani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali yani unakuwa bubu kwa muda

Jr[emoji769]
 

Teh, nikiambiwa tuma nauli hua napangua gia angani .
 
Ana maisha gani hivi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me najiuliza wanahisije kwamba una hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…