Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Huu mchezo mbaya sana na tunaumia mioyoni mwetu.

Nilifanyiwa hivi Bukoba, ila mhusika alitokomea rafiki yake kumbe anaililia nafasi.

Nilimaliza shida zangu kwa rafiki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mchezo mbaya sana na tunaumia mioyoni mwetu.

Nilifanyiwa hivi Bukoba, ila mhusika alitokomea rafiki yake kumbe anaililia nafasi.

Nilimaliza shida zangu kwa rafiki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji848][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Umaskini wa hali ya juu.
 
😂😂😂😂😂 aise wewe mdada ni kiboko, mpaka boss wako daaa 😂😂😂😂
 
Huu uongo wa kuiga stories za kitaa unaleta huku ni utoto.

Your
 
Hivi nyie wanawake matapeli wa mapenzi, kwanini huwaga hamna hofu ya kuacha wazi simu zenu baada ya kutapeli?
Unakuta mwanamke kakutapeli halafu hajihangaishi kufunga simu ama kubadili line!
Huku keshakutapeli, ila ukimpigia eti anakujibu kwamba " nimekwambia nakuja usitoke hapo, kuna kazi namalizia na ukiondoka nitakulaumu!"
Halafu mwanamke unaelewa kabisa penzi jipya la mara ya kwanza linavyokuwaga kivuruge kichwani pa mwanaume!
Acheni kutesa watoto wa wanawake wenzenu kuwatapeli mapenzi,vibaya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisamehe jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Manina,namimi ulishanipiga 60,000 badoo
 
Dah nimecheka sana!!!!
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Leo nimeingia Supermarket nikachukua Mkate Mkubwa na Maji,
Ajabu tangu nachagua bidhaa kwenye Shelf kuna Mzee mmoja alikuwa ananifuata nyuma mpaka nikaogopa,
nikaenda kaunta kwa Cashier bado ananifuata nyuma!,
Nikarudi kwenye Shelf kuchukua Soda bado Mzee yupo! Duh!
MZEE : Sory kijana kama nimekutisha, unafanana sana na Mwanangu aliyefariki juzi na kuzikwa Makaburi ya Kinondoni,
MIMI: kwa hiyo mzee unataka kusema nini?
MZEE : bahati mbaya Mwanangu amefariki bila hata kusema bai, naomba unisaidie kitu kimoja, wakati naondoka nikikupa Mgongo walau useme BAI BABA! Ili nijisikie kama niliagwa na Marehemu Mwanangu jamani!, nisaidie (akatokwa machozi)
MIMI: hilo tu? Usijali Mzee!.
Kisha Mzee yule akachukua bidhaa zake mafurushi kibao mpaka pale kaunta akahesabiwa vitu vyake akabeba na kunipa Mgongo ili nitimize alichoomba.
MIMI : Bai baba!
MZEE: Bai Mwanangu Mpenzi, asante!!
Mzee yule alipoondoka nikaenda Kwa Cashier na kupigiwa hesabu
CASHIER : Kaka Unadaiwa Tsh 238,500/=
MIMI : kivipi? Yaani Mkate, Maji na Soda pesa yote hiyo? Acha Wizi wewe dada!!
CASHIER: wewe unadaiwa sh 8500 na Baba yako amesema unamlipia bili yake sh 230,000/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bai BABA!
 
Bai mwanangu
 
Kiukweli kutapeliwa na mwanamke kwenye kabila yetu ya kanda ya ziwa ni ufahari, hasa kama demu mwenyewe ni bomba kama Demiss, Issue ni kutapeliwa na mwanaume mwenzako, ni hasira mpaka kutetemeka na kukubali kweli duniani kuna wajanja kuliko wewe...
 
Kiukweli kutapeliwa na mwanamke kwenye kabila yetu ya kanda ya ziwa ni ufahari, hasa kama demu mwenyewe ni bomba kama Demiss, Issue ni kutapeliwa na mwanaume mwenzako, ni hasira mpaka kutetemeka na kukubali kweli duniani kuna wajanja kuliko wewe...
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…