Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Hahahahhaha aiseee
Kiukweli kutapeliwa na mwanamke kwenye kabila yetu ya kanda ya ziwa ni ufahari, hasa kama demu mwenyewe ni bomba kama Demiss, Issue ni kutapeliwa na mwanaume mwenzako, ni hasira mpaka kutetemeka na kukubali kweli duniani kuna wajanja kuliko wewe...
 
Wewe si uliingizwa mjini na yule jamaa kutoka Canada, au nimekuchanganya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe si uliingizwa mjini na yule jamaa kutoka Canada, au nimekuchanganya?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
 
 
Kaambiwa akalizike hilo jeneza siku saba kisha akilifukua atayakuta manoti kama yote
 
Best angu kanieleza Kuna simu nzuri Sana inahitaji laki, nikaagiza na elfu Saba juu ya kutolea, Mara hapokei Mara nipo Safari Mara nilikuwa wapi cjui.... [emoji51][emoji51]Ni mshikaji tulietoka naye mbali mwisho nikajumlisha nabkuongeza nikajua NSHATAPELIWA HAPA ulikuwa mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikuwa msibani.. Ni msiba wa jirani, basi bajeti ikawa kidogo imebana sasa wakati wa kuona wapi tutapata jeneza kwa bei nafuu akajitokeza jamaa aliyejifanya marehemu alimsaidia sana kipindi fulani hata kazi ya muhimbili ni yeye alimpa connection
Basi akasema mchango wake yeye ni Kusaidia kupatikana kwa jeneza standard, maua na gharama za mochwari mpaka dawa kwa laki NNE tuu.. Ila akaomba kama ikiwezekana usafiri familia ndio itoe
Mzee mmoja yeye akajitolea pickup.. Jamaa akapewa laki nne na shukrani kama zote... Alienda kumwacha dereva wa pickup kwenye parking za mochwari muhimbili
Jr[emoji769]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu wanaroho mbaya sana Aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…