Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Serious?? Wewe ukimtumia SMS tu inatosha!!Poa poa
Jr[emoji769]
Andika" Naitwa Mshana Jr kutoka JF kabla hatujaongea pitia kwanza nyuzi zangu ,halafu ujiulize unanimudu!""
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious?? Wewe ukimtumia SMS tu inatosha!!Poa poa
Jr[emoji769]
Hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23]mkubwa mshana hyo kiteshe unayoizingumzia ni ile ya pale kibaha mbele ya mizani ya zamani unaingia chocho kushoto au
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee hawa walitumia akili kubwaMiaka ya 2000 mwanzoni tuliwahi kulizwa na wazee wa kazi.
Mzee alikuwa ana duka la kuuza baiskeli na spea zake. Basi siku ya siku jamaa wakaja wakamkuta mzee wakamwomba kama anazo shilingi moja moja awatafutie watazinunua 1 kwa sh 20, mzee akazisaka mule dukani akapata kadhaa, maana kipindi hicho zilishaacha kutumika.
Wakazinunua akapata kama 15,000/-, basi wakamwambia awakusanyie watakuwa siku fulani, walipokuja walikuta kakusanya nyingi kidogo, wakanunua, alipata kama 250,000/-.
Mzee akaambiwa akusanye zaidi maana kuna wazungu ambao wanazihitaji sana, wanataka mzigo mkubwa, kwamba kuna vito wanatumia kutengenezea.
Basi kwenye kutafuta mzee akakutana na mtu ambaye alisema anazo ila anauza kwa bei ya sh 10 kila moja maana dili limeshajulikana kwamba anauza kwa 20. Akanunua mzigo wa almost 900,000/-, maana kuna shamba aliuza kuongezea hela. Hapo alitegemea faida mara 2.
Jamaa hawakurudi tena, ikaja baadae kugundulika wale jamaa waliomuuzia mzigo wa mwisho ndiyo hao hao walionunua kwake mwanzoni.
hahahahah..... maeneo yangu sana hayo nikiwaga kibaha...Hapo hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kisa cha kwanza ni ubunifu wa hali ya juu !! Angebuni miradi ya maendeleo kwa njia hiyo angekuwa mbali . Ila hajaiba ni ubunifu wa chapchap
Sent using Jamii Forums mobile app
nirudishe vipi sasa na wakati mtu mwenye alivyorudi safari tukawa mabest mpaka leo plus hana shida ya hela kama laki ndio maana alimezea tu. kurudisha hela ni dhambi
Kote kwangu huko... Siku ukiwa maeneo nichekihahahahah..... maeneo yangu sana hayo nikiwaga kibaha...
na kuna ile inabamba sana siku hizi inaitwa bonag iko maeneo ya gogoni
napendaga siku za weekend kwenda kuswim kidogo unaipata hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kurudisha hela dhambi...!!!nirudishe vipi sasa na wakati mtu mwenye alivyorudi safari tukawa mabest mpaka leo plus hana shida ya hela kama laki ndio maana alimezea tu. kurudisha hela ni dhambi
eeh dhambi. nilishatendaga hii dhambi ya kurudisha hela naijutia mpaka leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kurudisha hela dhambi...!!!
Jr[emoji769]
Chaii hii bila sukariKuna utaperi mwingininge inalazima..kwani njaa kibiko.nakumbuka mwaka1998 niliwa safari kuelekea mikoa LINDI NA MTWARA kwenye Mishe zangu za biashara.nilipo fika pale RUFIJI pantoni limealibika,ikalazima watu kukaa kwa siku kazaa,kilicho nikuta sikua na namna,nikaaza utapeli.
Asubuhi,sijakunya chai,sina ela nimeishiwa na njaa bado. hakuna dalili za kuondoka Leo wala kesho,nikaona hapa mtoto wa mjini nashikishwa ukuta.nikaona isiwe shida liwalo na liwe.nikazunguka kwenye vibana ghara namuona mjusi kafiri,nikaua,nikamchukua,nikaweka kwenye karatasi vizuri,nikaingia mgahawani,nikaagiza wali samaki plat mbili,nikazipiga fast a,mwishoni nikaweka yule mjusi kwenye sahani,kwa ujasiri nikamuita muhudum nikamuonyesha,aisee yule dada alistuka,na nikamuambia naenda kuita polisi.matokea yake sikulipa na aliniomba nisitoe siri.na akaniahidi niwe nakula pale bure mpaka siku ya kuondoka.DAAAH UKIZALIWA NJINI UFI NJAA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kote kwangu huko... Siku ukiwa maeneo nicheki
Jr[emoji769]