hapa ndo mnapofeliJamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
Hatujawahi kufeli katika hili. Labda una maana mpya ya tamko "kufeli".hapa ndo mnapofeli
Ndugu ukistaajabu ya Makolo utayaona ya ManaraTawi limempataje kiunoni baada ya kichwani?
Ni wewe for really?Hii hapa chini. Nisubiri muda gani kuona effects zake? Jina la diwani limewashinda?
View attachment 1931365
Tiririka mzeeNinamengi yakusimulia kuhusu kwetu kgm a.k.a Lwama
Mchawi kinoma lakini kashindwa kutumia uchawi wake kujua identity ya mtu bila kutumiwa pichanisaidie picha yako mkuu kuna jirani yupo yupo tu hapa kakaa ila ni mchawi kinoma nimpe aongeze idadi ya misukule na atashukhuru sana
Hiyo assignment uliyompa nikubwa sana, na hata akija na jina lakutunga hawezi pia thibitisha hiyo kauli yakusema uchawi ndio ulimtoa uhai wake.Kwahiyo wachawi wanapaa, wanayeyuka, wanafufuka ila hawawezi kufika NY?
Hapo hapo mnasema wachawi wanaweza kila kitu ila hawawezi kupata details zangu au nywele bila mimi kuwapa?
Nimewarahisishia kabisa toeni jina tu la huyo Diwani mliyedanganywa na Chizi Maarifa niwape 500K napo mnashindwa. Sasa uchawi wenu unaweza nini enyi midanganyika?
Story zenu don't add up. Kiwango chenu cha uzwazwa inabidi mkilipie tozo nyie midanganyika empty set kabisa.
Wengine tupo mikoani huku tukisia hela alafu mtu kashindwa kutupa jina la diwani, tunatamani tufunge safari kwenda kigomaNimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi.Smh
Haya masuala yapo kiimani zaidi. Na majibu ya hayo maswali hujibiwa kiimani kwa waaminio, tukiingiza sayansi kwenye majibu yao wote watakuwa waongoJamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
Ungeibiwa mume ndio ungejua upo au haupo πππMjadala bado mzito. Mie nikiri wazi nimeishi Kondoa, Shinyanga, Bariadi sijawahi kuuona uchawi ni story Tu.
Ni wewe for really?
Sijawahi kuwa na mume πππlabda ndo uchawi wenyeweπππUngeibiwa mume ndio ungejua upo au haupo πππ
Uchawi upo na unaexist.
Pic nzuri na mwili mzuriNdiyo mkuu. Bado nasubiri kutengenezwa hapa wengine wamezamia mitini.
Utapeli ni mwingi Dunia hii. Muwe makini sana.Pic nzuri na mwili mzuri
Lakin na ww ubishani tu wa huku jf ndo uweke hadi picha yako halisi?
Hahahaha kwamba natakaje kwa mfano? Usinchekeshe bwana...Utapeli ni mwingi Dunia hii. Muwe makini sana.
Nafahamu michezo yake ndo maana nimekwambia hivyo. Watu washalizwa kwa style yake hiyo hiyoHahahaha kwamba natakaje kwa mfano? Usinchekeshe bwana...
Me siko kihivyoo
Kwanza hawez kuweka picha yake hapa eti sababu ya ubishani...