Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
hapa ndo mnapofeli
 
nisaidie picha yako mkuu kuna jirani yupo yupo tu hapa kakaa ila ni mchawi kinoma nimpe aongeze idadi ya misukule na atashukhuru sana
Mchawi kinoma lakini kashindwa kutumia uchawi wake kujua identity ya mtu bila kutumiwa picha
 
Kwahiyo wachawi wanapaa, wanayeyuka, wanafufuka ila hawawezi kufika NY?

Hapo hapo mnasema wachawi wanaweza kila kitu ila hawawezi kupata details zangu au nywele bila mimi kuwapa?

Nimewarahisishia kabisa toeni jina tu la huyo Diwani mliyedanganywa na Chizi Maarifa niwape 500K napo mnashindwa. Sasa uchawi wenu unaweza nini enyi midanganyika?

Story zenu don't add up. Kiwango chenu cha uzwazwa inabidi mkilipie tozo nyie midanganyika empty set kabisa.
Hiyo assignment uliyompa nikubwa sana, na hata akija na jina lakutunga hawezi pia thibitisha hiyo kauli yakusema uchawi ndio ulimtoa uhai wake.

Hivyo basi kwavile hela umei withdraw na mchukuaji hawezi ichukua mimi niombe hapo 20k tuu
 
Nimeomba jina lake tu mkuu ila napigwa chenga hatari. Sikujua udiwani ni siri kiasi hiki watu wanagoma kutoa jina la diwani hata kwa hela ila hao hao wanataka mishahara ya wabunge na viongozi iwekwe wazi.Smh
Wengine tupo mikoani huku tukisia hela alafu mtu kashindwa kutupa jina la diwani, tunatamani tufunge safari kwenda kigoma
 
Jamii forum kuna watu wajinga,mfano wewe unapinga juu ya kutokuwepo kwa Uchawi halafu huujui Uchawi nini,kadhalika huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa uchawi hivi ni vimbwanga vyenye kuchekesha sana.
Haya masuala yapo kiimani zaidi. Na majibu ya hayo maswali hujibiwa kiimani kwa waaminio, tukiingiza sayansi kwenye majibu yao wote watakuwa waongo
 
Itikadi zako ni kama za Kiranga
Za kusema Mungu hayupo.....owky.

Ila kaa ukijua uchawi ipo na una exist hata ukiwauliza wazazi wako watakwambia.....
Bufa uchawi upo na una exist usilete ligi
Uchawi upo na unaexist.
Mwaka juzi niliona matukio ya ajabu sana ni km ndoto.
Nikisimulia hakuna anayeamini , watu nawaona na nawajua ila yaliyokua yanatokea ile nyumba sitasahau.
Nikilala usiku ni kama nilikua nahamishiwa sayari ingine,huko ni vita vita tu .nikishtuka ukute labda nimepigwa panga la shingo au visu au risasi ndo naamka hapo hata kulala tena mitihani.
Nishakimbia sana maporini huko na maeneo nayatambua ila nikikurupuka nikijiuliza nilifikaje kule.ni mile 11000 toka nilipo
Sielewi.
nashkuru kwa sasa zimekoma baada ya kuombewa sana.
 
Hahahaha kwamba natakaje kwa mfano? Usinchekeshe bwana...
Me siko kihivyoo
Kwanza hawez kuweka picha yake hapa eti sababu ya ubishani...
Nafahamu michezo yake ndo maana nimekwambia hivyo. Watu washalizwa kwa style yake hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom