Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Hajawahi tuma chochote na sijawahi muomba. So suala la kuitwa na kujitolea nauli limenikwaza sana, hujawahi gharamia chochote mkutano wa kwanza hutaki kugharamia? Kwasababu nina pesa nitumie zangu? Na ebo si ni watu wazima hatuendi kuosha viazi uko
Kwanza hakutakiwa ajue kwamba una biashara
Unamwambia duka nimeajiriwa tu
Shenzi kabisa
 
Yes asante kwa hii naona kabisa kuna shida somewhere why nigharamie safari unayoitaka wewe?
Kama amekaa sana US itabidi umuelewe tuu, nauli unajilipia it’s a cultural thing, ila hana chef au dereva, kwa New York hiyo ni lifestyle of billionaires sio day worker na hata vice president of Fortune 500 hawezi, kumlipa dereva New York ni zaidi ya mshahara wa Samia
 
Anao! Nimemwoma nao! Na mara nyingi kanitumia vizawadi ni dereva wake ndie ananipigia kuniomba address,zaidi ya mara moja.
 
Anao! Nimemwoma nao! Na mara nyingi kanitumia vizawadi ni dereva wake ndie ananipigia kuniomba address,zaidi ya mara moja.
US tunaendesha magari yetu wenyewe na New York hata mamilionea wanatumia Trains, kama ana driver angenunua ticket cultural thing isingekuwa issue, hana kitu
 
Mkogo hivi wote, watu wa hovyo Kabisa, Hakuna mtu financial stable ana kuja kupiga kelele huku Jamii forum na kutangaza ujinga Kama huu, mtakutana na watu mnaofanana nao!

Yanga Bingwa - Hu ndo mfano wa maneno ya mtu Mwenye pesa!
Humu Jf yupo hadi Kikwete na watoto wake sembuse mimi mwenye pesa za chupi ebu tulia uko
 
US tunaendesha magari yetu wenyewe na New York hata mamilionea wanatumia Trains, kama ana driver angenunua ticket cultural thing isingekuwa issue, hana kitu
Suala la dereva sio la kubishana jamani, suala kwanini uwe na hela na uwe mbahili , nimekosea wapi? Ila nimeona comment imesema sikutakiwa kusema nina mapene nahisi nilianza kukosea apo najifunza . So nashkuru nimejifunza atleast kitu kimoja leo
 
Mimi nakusihi! Chonde chonde!! usiweke mkeka wa Ma boyfriend wako wote humu jukwaani! Jifanye tu aliye kuaproach alikuwa ni huyo huyo Agel. Ukiweka idadi ya Ma boyfriends wote hapa, haki ya nani watu wa kataa ndoa watakuja kutukatisha kabisa tamaa sisi waoaji. 😩
 
Akili ya kimagharibi unamwita mwanamke kwa gharama yake? Na we ndo una shida nae?
Kwanini wewe unadhani ana shida na wewe? Kwani wewe huna shida nae? Mimi nadhani jamaa yuko sahihi anapima je wewe uko tayari ku invest kwenye hilo penzi.. kwa kujitolea ticket tu? ila wewe unaona yeye ana shida.. huyu achana nae atakuumbua huyo.
 
Mh
 
Ni mwanaume dhaifu tu ataelalamikia pesa ya mwanamke. Wewe ndo unamtaka aje kukuona. Mlipie. Asipokuja ye hajapoteza kitu. Unabaki tu ndani na sabuni au vipi.🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…