Umezidi ushari na wewe! kama yatima wa general Qaseem!!Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.
Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Labda tuanzie kwa "mchimba kisima kaingia mwenyewe" ndio tujue maana halisi na sahihi ni ipi katika muktadha huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya kawaida Yana Oxygen ambayo ukiyatumia Moto utaongezeka kuwaka.Ni tanzania pekee ambayo zimamoto watafika eneo la tukio na kusema hawana maji wakati moto umetokea kando kando ya bahari
Shika adabu yako. Perez.Umezidi ushari na wewe! kama yatima wa general Qaseem!!
Kwaiyo maji nayotumia mimi kuzima mkaa wangu jikoni, hiyo carbon dioxide inakua imewekwa na nani?Maji ya kawaida Yana Oxygen ambayo ukiyatumia Moto utaongezeka kuwaka.
Maji ya zimamoto yamewekwa Carbon dioxide kuweza kupunguza Nguvu ya Moto.
Chemistry form two. tabia za Oxygen.
Iko siku watakuja kupigwa mawe na wananchiNi tanzania pekee ambayo zimamoto watafika eneo la tukio na kusema hawana maji wakati moto umetokea kando kando ya bahari
kazi ya ZIMA MOTO ni kuzima moto
Daaah mkuu umezingua sasa wachote moto?Halafu utakuta kuna watu wanasogea ili wachote
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahaha. Nasubiri na mimi jibu lakeKwaiyo maji nayotumia mimi kuzima mkaa wangu jikoni, hiyo carbon dioxide inakua imewekwa na nani?
Tueleze wewe ambaye umepitia chemistry ya fom two
Perez ndio nini bibi?Shika adabu yako. Perez.
Waambiwe waajemi wasituchezee.
Au Wanadhani Kigamboni ni moja ya kambi za Us army