Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Hii hali ya joto kuwa kali,inabidi tuwe makini sana kuanzia majumbani kwetu,hasa namna tunavyotunza nguo ambazo hatuzitumii kwa muda mrefu,majani makavu kwa wale wafugaji.

Unaweza shangaa moto umeibuka ukaanza kutafuta mchawi aliyekutumia moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka umeanza fyongo,kule soko la dunia mafuta yakwenda kupanda sababu ya marekani huku kwetu stock zinaungua balaa sasa ngoja niifunike tu turubai nissan Skline maana ina CC 2500,kesho natafuta boxer ninunue.
 
Hivi kile kivuko cha kigamboni mwisho sa ngapi mwenye kufahamu please
 
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Bibi tusamehe bure, tupo kwenye heka heka za kuzima moto sasa.
 
Nchi hii imekwama sana TBC wanaonesha michezo ya kuigiza muda huu hakuna alert yeyote.
 
Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Wewe ajuza unakulaga ugolo?
Ujuaji mwingi mbele kiza
 
Hilo ajuza ujuaji huwa mwingi, yani yeye kila kitu anajua hana mashikolo mageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…