Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Hizo hua ni dalili za mwanaume kutamani kua mwanamke yaani anaumia akiona mwanamke wake anabaki nyumbani kulea watoto na yeye anaenda kusulubika kwa kazi ngumu, anatamani yeye angekua mwanamke ili abakishwe nyumbani bila kujua huyo anayemuona golikipa ndie anayemlelea watoto wake na kusaidia mambo ya nyumbani yakae sawa na ndie anayepokea wageni wake wakija kumtembelea,Duhh mkubwa, hivi waga unaandika kutoka moyoni au unaandika tu mawazo yako kama kujifurahisha na kufarahisha wenye mtazamo kama wako?🤔
Nichangie bills? Utamaduni wa ulaya unauleta huku? Nimeoa mimi
Nichangie bills?
Hizi ni wishful thinking,fantasy and unreaslistic ideas u name it!
Miaka yote wanawake wa kiafrika ndio walezi wa familia hata hao wanaochongoa midomo hapa wamesaidiwa pakubwa na mama zao na ilihali baba zao walikuwepo ndani wamejaa teleeeHalafu kwanini mnajadili hizi mada as if wanaume ni wawajibikaji kiasi hiko 🤔
Wengi tumeona nyumba zinazoendeshwa na wamama ambao sio single mothers, au nyie wenzangu hamjaona.
Soma MADA kwanzaUnataka tulipe bills sawa sawa utakubari nikaangalie mpira wa Barcelona usiku
Maana home hakuna vibe😁
na bora uwe single mother kuliko single married, inatengeneza resentment, ndio maana wanachukiana sana huko kwa kina ndoa.Tena saivi wanaume waliowengi hawawajibiki kuna wamama ni single married
HTena saivi wanaume waliowengi hawawajibiki kuna wamama ni single married
Kwa kabila letu ukioa mwanamke golikipa yeye kazi yake ni kudaka tu utachekwa sana , na tumewafunza mabinti zetu kuchapa kazi na wao wanaelewa vizuri sanaMwaya, hakuna submissive provider nakukumbusha kila siku.
Hiyari ndio inayofanya mwanamke aheshimu.
Tunapojadili hizi mada tunatakiwa tujadili tabia za asili zinazotokana na bayolojia au tabia “zilizotengenezwa” ambazo katika makuzi na malezi kila gender inasisitizwa kuwa nazo kwa upekee.
Mtoto wa kike katika ukuaji anasisitizwa kusubmit, na mtoto wa kiume anasisitizwa kuheshimiwa/ kudai heshima.
Sasa hawa watu wawili ukiwabadilishia roles hawawezi kumatch. Kama mnaweka mkazo kwenye ndoa na mwanamke akawa provider maana yake hawezi kusubmit, na mwanaume atajisikia less of a man, atatoka kwenda kutafuta wakumuweka chini hence a broken home.
Hivi mnajua hata ndoa zinasumbua kwanini gani you people!? yall have 0 idea.
Ujue mimi nashangaa sana haya mambo, ndio maana nasema hii dunia probably wanaume wana matatizo kuliko wanawake.Miaka yote wanawake wa kiafrika ndio walezi wa familia hata hao wanaochongoa midomo hapa wamesaidiwa pakubwa na mama zao na ilihali baba zao walikuwepo ndani wamejaa teleee
Sasa hawa wanaolakamikiwa ni wa wapi?H
Kwa kabila letu ukioa mwanamke golikipa yeye kazi yake ni kudaka tu utachekwa sana , na tumewafunza mabinti zetu kuchapa kazi na wao wanaelewa vizuri sana
Mtu anachukua mambo ya hisia au uzoefu wa huko kwao ndio anafanya mada ya kiujumla ,mimi hata mambo ya wanandoa wawili kuishi bila kushirikiana mipango ya maendeleo nimekuja kuyaonea kwa watu tuSasa hawa wanaolakamikiwa ni wa wapi?
MADA:Mwaya, hakuna submissive provider nakukumbusha kila siku.
Hiyari ndio inayofanya mwanamke aheshimu.
Tunapojadili hizi mada tunatakiwa tujadili tabia za asili zinazotokana na bayolojia au tabia “zilizotengenezwa” ambazo katika makuzi na malezi kila gender inasisitizwa kuwa nazo kwa upekee.
Mtoto wa kike katika ukuaji anasisitizwa kusubmit, na mtoto wa kiume anasisitizwa kuheshimiwa/ kudai heshima.
Sasa hawa watu wawili ukiwabadilishia roles hawawezi kumatch. Kama mnaweka mkazo kwenye ndoa na mwanamke akawa provider maana yake hawezi kusubmit, na mwanaume atajisikia less of a man, atatoka kwenda kutafuta wakumuweka chini hence a broken home.
Hivi mnajua hata ndoa zinasumbua kwanini gani you people!? yall have 0 idea.
Nimesoma acha kunifanya punguaniSoma MADA kwanza
Tena wanaume wengine akiona mke wake anafanya kazi anabweteka 🙌 hasa huku uswahilini unakuta mume anashinda msikitini mke ana choma vitumbua watoto wale hehna bora uwe single mother kuliko single married, inatengeneza resentment, ndio maana wanachukiana sana huko kwa kina ndoa.
Wewe umejuaje anabweteka ? Umeyaelewa vipi makubaliano yao?Tena wanaume wengine akiona mke wake anafanya kazi anabweteka 🙌 hasa huku uswahilini unakuta mume anashinda msikitini mke ana choma vitumbua watoto wale heh
Yaan hata kama nikijijini unakuta mama abebe jembe mzigo wa kuni mtoto mgongoni mwanaume yeye anatembeza kende na baado huyo mama akifika apike afanye kazi zote bado anaonekana hana mchango wowote woiiiUjue mimi nashangaa sana haya mambo, ndio maana nasema hii dunia probably wanaume wana matatizo kuliko wanawake.
Naomba kukosolewa..
Reply yangu ilimlenga niliyemkoti.MADA:
Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo
Hoja kutoka reply yako
Tukiachana na asili Kwa mfano, Ni wapi kibaiolojia kumeandikwa kwamba mwanaume analipa bills?
Anyway acha hiyo
Kama mwanamke akiprovide hawezi kusubmit, ina maana heshima kwa mwanaume inategemea pesa tu?
Na kama kweli wanaume wote ni providers wa asili, kwa nini hata nyinyi mnakiri kuna nyumba nyingi zinaendeshwa na wanawake wakati wanaume wapo?
Kama mwanamke atamtegemea mwanaume, itakuwaje wakati mume amekufa, au akiwa hana uwezo WA kuprovide tena na yupo hai?
Watu hatukai kisiwani kaka haya mambo yapo mtu anashinda msikitini ana swali Allah ataleta mke anataabikaWewe umejuaje anabweteka ? Umeyaelewa vipi makubaliano yao?
Sasa Ile reply yako ilikuwa ya nini juu ya kuprovide MANA umekiri pia mwanamke ni provider KATIKA HIZo familia.Halafu kwanini mnajadili hizi mada as if wanaume ni wawajibikaji kiasi hiko 🤔
Wengi tumeona nyumba zinazoendeshwa na wamama ambao sio single mothers, au nyie wenzangu hamjaona.
Hayo ni maisha watu wawili wamekubaliana wayaishi ndio maana unaona bado wapo wawili , ogopa sana watu wawili wanaolala uchi kila sikuYaan hata kama nikijijini unakuta mama abebe jembe mzigo wa kuni mtoto mgongoni mwanaume yeye anatembeza kende na baado huyo mama akifika apike afanye kazi zote bado anaonekana hana mchango wowote woiii
Kwani kafungwa mguu asiondoke wewe umejuaje anataabika?Watu hatukai kisiwani kaka haya mambo yapo mtu anashinda msikitini ana swali Allah ataleta mke anataabika
Kumbe ni maisha ya wawili sasa kina cholalamikiwa hapa ni nini🤣Hayo ni maisha watu wawili wamekubaliana wayaishi ndio maana unaona bado wapo wawili , ogopa sana watu wawili wanaolala uchi kila siku