Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Zaeni watoto tutajirike kwa kuwauzia visungura na kuwapa madawa ya kulevya. Over!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watoto zao wanacheza hayoMkuu,
Nilisikia kipindi cha madubu kuwekwq sehemu za starehe kama club lakini mpaka sasa bado madubwi ya wachina yapo mtaani.
Na waathirika ni watoto wa shule, ambapo kiuhalisia hawana pesa zaidi ya kupewa na wazazi na wanapokosa pesa lazima watafute namna ya kuiba.
Watoto wengi wanaanza wizi na kushindwa kumaliza shule.
Hata hilo nale serikali imeshindwa kulisimamia.
Mkuu huwezi kukataza watu wasinywe lakini mimi binafsi sijawahi kuona faida yoyote zaidi ya kijana kuzidi kupotea.Kwenye hili sasa serikali itafanya nini, kupiga marufuku hizo pombe au kushauri vijana kunywa kiasi?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wala sio mfumo ni malezi na kujitambua tu,mbona wengine wanakunywa wanalewa lakini hawatukani wala kusumbua watuMfumo ndy unataka hivyo
Vijana waconcerntrate kwenye mitungi,miziki+starehe +mipira
Wakati wenzenu na familiaaa zao wanasongaaa
Ova
Unafikiri nini kifanyike mkuu?Kwani watoto zao wanacheza hayo
Madubwi kwanza wala hawayajui
Ova
Mtibeli mimi ni fan wako mkubwa sana hapa JF na hata wewe unafahamu kwa kukuweka 5 bora yangu.Zaeni watoto tutajirike kwa kuwauzia visungura na kuwapa madawa ya kulevya. Over!
Mkuu unajua kwamba dubwi huwezi kuliiba?dubwi linaasaidia mtoto ajue mahesabu
2.ajue jinsi ya kulinda hela zake
3.ajue anaibiwaje pale anaposhinda 10000 wanampa 7000...
Hawa ni wazalishaji wa humu ndani?Kuna ngoma iko mbeya inaitwa master, ile ngoma naona inavyoua vijana wa mbeya taratibu
Ni wachina wanazalishia hapo hapo mbeya,lakini ile pombe sio kabisaHawa ni wazalishaji wa humu ndani?
Au nje ya nchi mkuu?
Sasa hivi ndio unajua kua nidhamu ni jambo la bure??nidhamu ni jambo la bure ndugu
Mkuu acha kuniita mpumbavu.😂 si kwa ubaya ila mlevi ni mpumbavu sana walah
Daaah yale madude tusidanganyane yanKuwaga na gprs huwezi iba na wanaweza kulichezesha kuvutia mwanzo kwanzadubwi linaasaidia mtoto ajue mahesabu
2.ajue jinsi ya kulinda hela zake
3.ajue anaibiwaje pale anaposhinda 10000 wanampa 7000...