Visungura mtaani na k vant vinamaliza vijana!

Usipopambana kujilinda/ kumlinda wa kwako hakuna atakayekulindia.

Watu wako busy kutengeneza fedha pasipo kujali wanaumiza ama la!

Usipojionea huruma wewe hakuna wa kukuonea huruma.

[emoji22][emoji22][emoji22]
 
ETI Wanaongoza kwa kulipa kodi!!!!!
 
Kuna mshikaji hapa kitaa anakunywa sana gongo..yeye gongo aniita MATERIAL (TERIAL)... Ukimshauri kwamba aisee usinywe gongo ni mbaya.... Anajibu "hii haiitwi GONGO inaitwa TERIAL acha kuharibu brand"
 
Serikali Haishauriki kwa Jambo Hili, Wao wanazingatia Kodi haswa hivyo vijana tujiangalie Zaidi wenyewe. Na Wakati mwingine unakuta ni biashara za wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…