Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
inaitwa COVID 19 ila kwakuwa nuie vibaka wa LUMUMBA mmeishia shule za kata endeleeni kuiita Corona.Hii ccorona tuibadilishie jina kidogo, iitwe corombowe au corodema. Kesho tu wahusika wako field kuikabili [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yeye ni Ngabu tuuuu,siyo Mzee ...I think the first step is to take precautions of or kids below 18.
Nyie wazee mna akili zenu bananeni huko wee kwenye mapantoni na madaladala ila mkirudi majumbani moja kwa moja kuoga na sabuni yenye sanitation.
Kwanza mmezeeka hata mkifa Taifa halina hasara sana...ha ha ha
UDA?Nimesema waweke utaratibu kwenye.usafiri wa Umma, ungekuwa hata na akili nusu ya unazopaswa kuwa nazo ungeelewa mantiki ya hoja yangu
Na Mabilioni ya Cha Juu 50% zilizopigwa kwenye midege yote kuanzia bombadiyee hadi dirimulaina zirudishwe zisaidie kukabiliana na kuenea kwa corona.2. Magufuli aaachie zile 1.5 T zinunulie vipimaji uginjwa na sanitisers
Ndugu zangu wengi ni machinga . Kipindi cha kikwete hawa watu walifanya kazi kwa utaratibu, baada ya hapo nchi imekuwa holela, imagine kipindupindu kikiiingia namna tutakufa, mama lihe wanapika katikati posta, mtto anakunya hapo hapo anabadilishwa pampas, mama hanawi kwa sabuni anaendelea kukanda unga wa chapati, tunaona na tunaishi nao.jaji mfawidhi una hoja, ila hili la kuwadharau wamachinga umekosea. Hao machinga wana haki ya kuishi na kuwa huru ktk nchi yao. Kuwaondoa mitaani ni sawa, labda kila machinga apewe posho ktk kipindi fulani.
Usishike uso na lazima unawe mikonoTunaoumia ni sisi raia wa mwendokasi 😭. Imagine hizo bomba za kushikia ziwe na corona.
View attachment 1391497
View attachment 1391496
the same na hapa Seattle, wamefunga kila kitu, hakuna kazi ila tunalipwa per diem na serikali, wTrump ametoa stimulus package ya kutufidia
Ndiyo ndugu, uzima ni bora kuliko mali, tuta tafuta tu, wacha tupambane na hii kitu japo kuna kuficha ficha sana huu ugojwaKwa hiyo Mkuu mtakaa nyumbani tu daaa hii corona kiboko
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Vyombo vya ulinzi na usalama vizuie mikutano ya CHADEMA tu. Mikutano ya CCM iruhusiwe kipindi hiki ambako kuna hatari ya ugonjwa wa CORONA.
Ndiyo ndugu, uzima ni bora kuliko mali, tuta tafuta tu, wacha tupambane na hii kitu japo kuna kuficha ficha sana huu ugojwa
Mungu/Yesu yupo lakini ujinga wa Ummy mwalim na mwenzake ndio umetufikisha hapa, mwenzake aliposkia CORONA imetua arusha akachapa zake lapa DODOMA [chamwino black house]Ni mtihani mkubwa
Mungu yupo hakuna jinsi
Itakavyokuwa, hatuna ujanja
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mungu/Yesu yupo lakini ujinga wa Ummy mwalim na mwenzake ndio umetufikisha hapa, mwenzake aliposkia CORONA imetua arusha akapiga zake lapa DODOMA