Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Hii ccorona tuibadilishie jina kidogo, iitwe corombowe au corodema. Kesho tu wahusika wako field kuikabili [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
inaitwa COVID 19 ila kwakuwa nuie vibaka wa LUMUMBA mmeishia shule za kata endeleeni kuiita Corona.

Bosi wako juzi baada ya kuambiwa imeingia Arusha alikimbilia Kujifanya anakagua daraja la ubungo, mara morogoro mara kajificha chamwino, nyie endeleeni na ukibaka wenu haoo lumumba
 
I think the first step is to take precautions of or kids below 18.

Nyie wazee mna akili zenu bananeni huko wee kwenye mapantoni na madaladala ila mkirudi majumbani moja kwa moja kuoga na sabuni yenye sanitation.

Kwanza mmezeeka hata mkifa Taifa halina hasara sana...ha ha ha
Yeye ni Ngabu tuuuu,siyo Mzee ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Magufuli aaachie zile 1.5 T zinunulie vipimaji uginjwa na sanitisers
Na Mabilioni ya Cha Juu 50% zilizopigwa kwenye midege yote kuanzia bombadiyee hadi dirimulaina zirudishwe zisaidie kukabiliana na kuenea kwa corona.
 
jaji mfawidhi,
jaji mfawidhi una hoja, ila hili la kuwadharau wamachinga umekosea. Hao machinga wana haki ya kuishi na kuwa huru ktk nchi yao. Kuwaondoa mitaani ni sawa, labda kila machinga apewe posho ktk kipindi fulani.
 
jaji mfawidhi una hoja, ila hili la kuwadharau wamachinga umekosea. Hao machinga wana haki ya kuishi na kuwa huru ktk nchi yao. Kuwaondoa mitaani ni sawa, labda kila machinga apewe posho ktk kipindi fulani.
Ndugu zangu wengi ni machinga . Kipindi cha kikwete hawa watu walifanya kazi kwa utaratibu, baada ya hapo nchi imekuwa holela, imagine kipindupindu kikiiingia namna tutakufa, mama lihe wanapika katikati posta, mtto anakunya hapo hapo anabadilishwa pampas, mama hanawi kwa sabuni anaendelea kukanda unga wa chapati, tunaona na tunaishi nao.

njoo barabara zote zenye watu wengi machinga wamefunga kabisa, na ukimgusa anakuonyesha kitambulisho na kukwambia yeye ni mnyonge, nchi imepata watu washamba[wa kutoa maamuzi] na itatugharimu na hawa wanatumika kama mtaji wa kisiasa.
 
Naona sasa Corona inataka kutufirisi sisi wenye Makanisa hasa ya binafsi - source of income wapi sasa jamani?

Corona nakwambia kwa JINA LA YESU - SHINDWAAAAA!!! KABISA.
 
the same na hapa Seattle, wamefunga kila kitu, hakuna kazi ila tunalipwa per diem na serikali, wTrump ametoa stimulus package ya kutufidia

Kwa hiyo Mkuu mtakaa nyumbani tu daaa hii corona kiboko


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
H
Screenshot_20200318-120208.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo ndugu, uzima ni bora kuliko mali, tuta tafuta tu, wacha tupambane na hii kitu japo kuna kuficha ficha sana huu ugojwa

Ni mtihani mkubwa
Mungu yupo hakuna jinsi
Itakavyokuwa, hatuna ujanja


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni mtihani mkubwa
Mungu yupo hakuna jinsi
Itakavyokuwa, hatuna ujanja


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mungu/Yesu yupo lakini ujinga wa Ummy mwalim na mwenzake ndio umetufikisha hapa, mwenzake aliposkia CORONA imetua arusha akachapa zake lapa DODOMA [chamwino black house]
 
Mungu/Yesu yupo lakini ujinga wa Ummy mwalim na mwenzake ndio umetufikisha hapa, mwenzake aliposkia CORONA imetua arusha akapiga zake lapa DODOMA

Na sasa wataongezeka sana kwa kweli
Maana ni chain haswa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tunawaomba Wakuu wa mikoa na wilaya kusitisha mikusanyiko ya harusi katika maeneo yao
 
Back
Top Bottom